Duuh..huu uzi huu..miaka 5..
Natamani kupata mrejesho kutoka kwa mtoa mada....je alimpata mwenza kwa masharti hayo...na kama alimpata basi sie wanaume wenzake tumfanyie matanga aiseee..manake maisha kama hayo ni sawasawa na kupigwa kafuti maisha yote

Kwa misimamo kama hii hakikisha unavutia uwe na tako zuri maana akili huna ndio utampelekesha mwanaume kiasi hicho unachotaka.Kama huna tako nenda kaloge ndio utapata zezeta wa kumpelekesha unavyotaka