Msimamo wangu

Wanawake walivyojaa hivi, kwani ya kwako ina TV ndani
,...harufu yako mwenyewe umeichoka, ndo ujifanye kuithaminisha hapa... Kaa nayo tu c ya kwako! Madem wengine bhana, yaani anachukulia watu wanamuwazia yeye tyuuuuu
......usikute mbayyyyaaaaaa.
 
nimecheka sanaaaa sanaaaa
ndio nimeona leo
 
Kwan lazm kuoanaaa kilaa m2 akaee kivyake!!!! Ka na k yakoo n c tukae na mirunguu yetuuu!!! Tutapgaa nyetook tuu!!!!
 
Haya ndio ya kupiga magumi kila siku manake litavumilia kusubiri mtonyo wa Mume.
 
Kwa maneno hayo na UTAMU uwe nao ... sio unajishaua hapa halafu wabaridiiii ... umepooooa kama kiporo ndani ya jokofu ...

Matokeo yake utaishia kusonya tu!!!!
 
u
takuwa
 
lkn ndg wa mke wao wajihusishe na mali sio?hizi waga nitabia za kichawi,ndg wa mume niwako pia
 
subi
na utaliwa sana mpaka umpate fala wa hivyo, we unafikiri wanaume wajinga au unafikiri mwanamke uko peke ako. Ukiendelea kuwa na misimamo ya hivyo utaendelea kuchangia send off za wenzako na ww kuchezewa mpaka uwe mkoko.
 
The world is full of surprises!


- KANA -
 
We unadhani wanaume ni mafala kiivo?
Sisi ni wajanja sana ndo maana tunawahamisha kwenu na kukaa nanyinyi popote tunapotaka.
Watu kama nyie namega bure hupati hata kumi

sent from Sokoro nkorambokande
 
Hivi huyu ni wewe au macho yangu yameona vibaya??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…