Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
WanaJF huu ndio msimamo wangu kama Mtanzania mwenye mapenzi na nchi yangu.
1. Nitaitetea na kuilinda nchi yangu kwa gharama yoyote
2 Nitaunga mkono juhudi za Mh. Rais wetu Magufuli katika vita anayoiongoza kuhakikisha Rasilimali zetu zinawanufaisha Watanzania wengi badaka ya kutumika kuwanufaisha wachache
3. Nitakuwa tayari kushirikiana na vyombo vya dola kuhakikisha kuwa wake wote wanaotishia usalama wa nchi yetu au wanaohujumu nchi yetu kwa namna yoyote ile wanachukuliwa hatua stahiki mara moja.
4. Sitakubali kununuliwa au kushirikiana na watu kutoka nje ya Tanzania kwa tamaa ya Fedha.
5. Nitabaki kuwa Kada Mzalendo siku zote nikiwa tayari muda wowote kuitumikia nchi yangu,kutekeleza maagizo yote kutoka mamlaka za juu kikamilifu na bila uoga.
Karibuni