Msimamo wa kanisa ni NoReformNoElection

Hila hizi zitashindwa kama zilivyoshindwa zingine sababu Kuna Mungu mwenye haki na usawa........aliyewekwa watu wengine pia wasio na hila Wala chuki za kidini kama Mwamposa na Shoo &co
 
Sasa mbona hizo nafasi mnatumia FFU kuiba, kama kweli mnataka haki kwa nini msiache uchaguzi uwe wa haki, kwa kutumia tume huru? Nonsense
 
Sasa mbona hizo nafasi mnatumia FFU kuiba, kama kweli mnataka haki kwa nini msiache uchaguzi uwe wa haki, kwa kutumia tume huru? Nonsense
Wewe uliibiwa kura kituo gani? Uliibiwaje wakati una wakala ndani ya chumba cha kuhesabu kura?

Ni mambo ya ajabu hakuna wakala anasema kura za mgombea zimeibiwa ila mgombea au mtu wa nje ndiebwatukaji kuwa kura zimeibiwa sio wakala

Angekuwa wakala wa chama kasema angalau ina make sense

Lakini watu nje ya chumba cha kura ndio wabwatukaji kuwa ooh tunaibiwa kura
Hata strategy za siasa hawana

Mlalamikaji mkuu alitakiwa kuwa wakala wa ndani ya kituo cha kura

Sio mtu wewe ambaye hukuwemo hata ndani ya kituo cha kuhesabu kura

Ndio maana CCM tumeziba masikio

Umeibiwa si uende mahakamani na ushahidi

Lisu na Heche wake wanawalisha hewa
 
Kuna watu wa aina fulani duniani huwezi kuongea nao mkaelewana, kwa kua umepofuka na ubinafsi. Uchaguzi 2020, 2024 zote ilikua bandia na kuibiwa wewe uoni, unajitoa akili.

Hata huyo mgombea wa CCM kalazimisha nomination sasa hiyo ni nchi kweli? It is another failed state.
 
Kuna watu wa aina fulani duniani huwezi kuongea nao mkaelewana, kwa kua umepofuka na ubinafsi. Uchaguzi 2020, 2024 zote ilikua bandia na kuibiwa wewe uoni, unajitoa akili.
Kama mna ushahidi kwa nini hamkupeleka hizo kesi mahakamani? Mbona wengi tu hutenguliwa na mahakama kama hawakushinda kihalali?
 

..Mama Samia amekiri kuwa uchaguzi wa 2020 uliibiwa ndio maana akaunda Tume ya kurekebisha mifumo ya uchaguzi chini ya Prof.Mukandala.
 
Sawa tu maana mwamposa Yuko na agenda yake oktoba tunatiki....
 
Nchi hii siyo ya kikristo we bwege, acha hayo mataputapu uliyokunywa
Shekhe ni kweli hii nchi sio ya Kikristo ila soma vizuri hilo bandiko hapo kwenye Ndugu Watanzania, hususan Wakristo Wakatoliki.

Hapo hawajatajwa KKKT, shia, sunni wala pentecoste.

Punguza jazba shekhe Mwai - Popo Kama vipi njoo na wewe na waraka wako unaohusu kutiki ✅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…