Msimamo wa kanisa ni NoReformNoElection

Mkristu umepoteza muda kuifanya dini I fit kwenye itikadi za siasa

What a waste of sperm
 
Nchi hii siyo ya kikristo we bwege, acha hayo mataputapu uliyokunywa
 
We mburukenge OKTOBA TUNATIKI SAMIA
 
Huyo Mungu mlionana naye wapi mkaongea?.bwege wewe
Kibwetere alifanya sahihi hizi ngombe kuzipunguzq ankole Uganda naomba na hapa atokee kibwe mwengne atupunguzie hata kwa 5% maana wanaturishia ujinga watt wetu
 
Nimekuelewa mkuu
 
Je, ndani ya Kanisa kunahitaji reforms za kuhakikisha watumishi wa Taasisi zake wanapatikana kwa merits na sio kwa regionalism ?
Sijaelewa hapa; kwamba wapatikane kwa merits na sio regionalism? Hebu tolea mifano ya hizo taasisi na viongozi wake tusome wote
 
Swali la kizushi.
Kwanini baadhi ya taasisi za Kanisa unakuta wamejaa watu kabila fulani.

Je, ndani ya Kanisa kunahitaji reforms za kuhakikisha watumishi wa Taasisi zake wanapatikana kwa merits na sio kwa regionalism ?
Ukijibiwa naomba uni tag
 
Mimi ni Mkristo

Hicho kikao cha wakristo kukubaliana kilifanyika wapi mwendawazimu wewe mleta mada

Mimi nitaenda ku tick October
Hata Kama hupendi hiyo mada lakini ineandikwa ki PhD ya kweli. Sidhani kama kuna M-CCM anaweza kuandika hivyo. Kama wewe ni msoma wa Masters na zaidi.
 
Hata Kama hupendi hiyo mada lakini ineandikwa ki PhD ya kweli. Sidhani kama kuna M-CCM anaweza kuandika hivyo. Kama wewe ni msoma wa Masters na zaidi.
Usomi gani ambao hamuwezeshi mtu hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi?
Eti oooh nina Phd lakini hata ujumbe wa nyumba kumi au udiwani huna

Kazi kukesha maktaba tu kufanya research

CCM haikeshi maktaba inakesha kwa wananchi ikiuza Sera na kuwatumikia wanànchi practically sio theoretically kama hao ma Phd holder wenu mabwege walioko Chadema

Nchi haiendeshwi kwa theories mjinga wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…