Kumbukumbu zinasemaje. Kuna timu iliwahi kufikisha?Tunataka tufike points 100+
Haijawahi maana si ndio Mara ya Kwanza ligi kuchezwa mechi 38....ila kihistoria Simba Mara nyingi wanakua wakwanza kwenye kila kitu kuweka rekodi,kombe la Tusker,mtani jembe,kagame,kucheza bila kufungwa...kwaio Simba niwazee wa rekodiKumbukumbu zinasemaje. Kuna timu iliwahi kufikisha?