Msimamizi wa mitandao ya kijamii (Social Media Manager) anatakiwa

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
19,147
Reaction score
43,079
Wasalaam Wakuu anatakiwa msimamizi wa mitandao ya kijamii

awe na sifa zifuatazo ili aweze kufanya kazi kwa ufanisi:

1. Awe ni Mkazi wa jiji la Dar es Salaam, itafaa zaidi akiwa ni Mwanaume (umri usizidi miaka 30)

2. Uwezo wa mawasiliano bora
Awe na uwezo wa kuandika na kuwasiliana kwa lugha inayoeleweka, inayovutia, na yenye heshima kwa wateja. (Kiingereza na Kiswahili)

3. Ubunifu (Creativity) – Awe mbunifu wa maudhui ya kuvutia kama picha, video, maneno ya matangazo (captions) na kampeni zenye mvuto.

4. Ujuzi wa kutumia mitandao ya kijamii – Awe na uelewa wa kina wa majukwaa mbalimbali kama Facebook, Instagram, TikTok, X (Twitter), na LinkedIn.

5. Uelewa wa soko na wateja – Ajue aina ya wateja wanaolengwa na bidhaa/huduma, na atumie lugha au mbinu zinazowafikia kwa ufanisi.

6. Uwezo wa kuchambua takwimu (analytics) – Ajue kusoma takwimu za utendaji wa posti (engagement, reach, likes) na kutoa ripoti ya maendeleo.

7. Uvumilivu na ustadi wa kushughulika na watu – Awe na uwezo wa kujibu maswali ya wateja kwa weledi na uvumilivu hata kwenye changamoto.

8. Uzoefu au ujuzi wa kuandaa maudhui ya matangazo – Awe na uelewa wa namna ya kuandaa kampeni au matangazo yanayolenga kuuza bidhaa.

9. Uthubutu wa kujifunza mambo mapya – Mitandao hubadilika mara kwa mara, hivyo awe tayari kujifunza na kuendana na mabadiliko.

10. Nidhamu na uwezo wa kupanga kazi – Awe na ratiba ya kuposti, kufuatilia maoni na kulinda taswira ya biashara mtandaoni.

Kwa mwenye hizo sifa na vigezo anicheki PM
 
Weka na mshahara ili kusiwe na usumbufu PM.
 
je hiyo kazi ni full time job au inakuaje mkuu!!
 
Mbona Sasa umesahau kuweka sifa zako , wewe ukoje na unalipa ama una trade nini in return na hizo skills za huyo umtakaye
 
😂😂😂
Nasikiliza nyimbo zilipendwa inaitwa Gezaulole hapa.

Dili ya shamba ikitokea nitakucheki private basi?

Halafu Bosi ni Mungu ndugu yangu
Kwanza shamba kwenyewe wapi? Na Kuna shughuli Gani? Bustani au kupanda/kukata miti,Kulima,kuvuna?

Nisije kuyakanyaga.
 
Back
Top Bottom