Kwanza mkae mkijuwa kundi la ISIS sio waislam ni Magaidi Tofautisheni kati ya Uislam ,Uarabu na Ugaidi ni Vitu 3 Tofauti kabisa kila kitu kikitokea mnasema ni dini ya Kiislam jamani someni vizuri mupate kuujuwa ni nini Maana ya Uislam? Au ni niniMaana ya Uarabu au ni ninia Maana ya Ugaidi? Kisha ndio mulete Pumba zenu hapa. Musipende kukosoa kitu wakati hamna elimu nacho. Wapumbe pumbe nyie.
Kirefu cha ISIS ni [TABLE="class: table tdata, width: 633"]Mkuu, naomba kirefu cha neno ISIS
Kirefu cha ISIS ni [TABLE="class: table tdata, width: 633"]
[TR]
[TD="class: tal tm"]ISIS[/TD]
[TD="class: tal dx"]Israeli Secret Intelligence Service[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Sawa mkuu, inawezekana hoja yako Ina mashiko, lakini noomba unijuze jambo moja Kama ugaidi Ni tofauti Na uislam kwa nini kule Kenya waliua wakristo Na kusamehe waislam?, pia kirefu cha Isis Ni nini?, hayo Tu.Kwanza mkae mkijuwa kundi la ISIS sio waislam ni Magaidi Tofautisheni kati ya Uislam ,Uarabu na Ugaidi ni Vitu 3 Tofauti kabisa kila kitu kikitokea mnasema ni dini ya Kiislam jamani someni vizuri mupate kuujuwa ni nini Maana ya Uislam? Au ni niniMaana ya Uarabu au ni ninia Maana ya Ugaidi? Kisha ndio mulete Pumba zenu hapa. Musipende kukosoa kitu wakati hamna elimu nacho. Wapumbe pumbe nyie.
Putin Says Israel is Training ISIS Jihadists
Sawa mkuu, inawezekana hoja yako Ina mashiko, lakini noomba unijuze jambo moja Kama ugaidi Ni tofauti Na uislam kwa nini kule Kenya waliua wakristo Na kusamehe waislam?, pia kirefu cha Isis Ni nini?, hayo Tu.
Mkuu Echolima Soma ndipo utakapo elewa ni nini maana ya neno ISIS hata nikikufahamisha kwa upeo wako wa elimu ndogo hutanielewa ni sawa sawa na kumpigia gita mbuzi ili apate kucheza nyimbo unayoimba je mbuzi anaweza kucheza nyimbo ukimipigia Gita? Amka upate kuelewa ni akina hao ISIS? Wamarekani na Wa Israil wametengeza hiyo ISIS ili baadae hao Wa ISIS waje kupigana vita na Aduwi mkubwa wa Israil Taifa la Iran ili Taifala Israil lipate kuwa salama hapo Uarabuni. Nimekupa kijisiri kidogo hicho ndio Maana nikaweka Video Rais Wa Urusi Mr Putin anawalalamikia Wa Israil ndio wanawapa mafunzo ya Kijeshi hao Wana mgambo wa ISIS kwanini MR Putin Rais wa Urusi ana walaumu wa israil? jiulize wewe mwenyewe kisha utapata jibu kwako mwenyewe ninakuacha hapo ulipo kwa leo.MOSSAD ni ya waarabu????
Mimi mara nyingi sana huwa nasikia tukio lolote huko mashariki ya kati lazima ahusishwe Israel au Marekani hata siku moja hutasikia kwenye video hii nilitarajia kumsikia putin anasema mwenyewe kumbe hata putin hasemi chochote bali anasemewa tu hawa watu wa ajabu sana hawaishi kusingizia watu.
Mkuu Echolima Soma ndipo utakapo elewa ni nini maana ya neno ISIS hata nikikufahamisha kwa upeo wako wa elimu ndogo hutanielewa ni sawa sawa na kumpigia gita mbuzi ili apate kucheza nyimbo unayoimba je mbuzi anaweza kucheza nyimbo ukimipigia Gita? Amka upate kuelewa ni akina hao ISIS? Wamarekani na Wa Israil wametengeza hiyo ISIS ili baadae hao Wa ISIS waje kupigana vita na Aduwi mkubwa wa Israil Taifa la Iran ili Taifala Israil lipate kuwa salama hapo Uarabuni. Nimekupa kijisiri kidogo hicho ndio Maana nikaweka Video Rais Wa Urusi Mr Putin anawalalamikia Wa Israil ndio wanawapa mafunzo ya Kijeshi hao Wana mgambo wa ISIS kwanini MR Putin Rais wa Urusi ana walaumu wa israil? jiulize wewe mwenyewe kisha utapata jibu kwako mwenyewe ninakuacha hapo ulipo kwa leo.
dah!kiongozi umewapa shule ya bure kabisa....
NA HA HUYU M-NORWAY MKRISTO ALIYE WAUWA WAISLAM HUKO KWAO NORYWAY MBAYA ? KWA HIYO WAKRISTO WOTE NI WABAYA DUNIANI?Sawa mkuu, inawezekana hoja yako Ina mashiko, lakini noomba unijuze jambo moja Kama ugaidi Ni tofauti Na uislam kwa nini kule Kenya waliua wakristo Na kusamehe waislam?, pia kirefu cha Isis Ni nini?, hayo Tu.
Katika hali ya kushangaza waislam wa Shia waliokua katika swala ya ijumaa,msikiti wao umepigwa bomu na magaidi wa IS.Angalau watu watatu wafa na wengine wengi kujeruhiwa.
Ona sasa wanamalizana wenyewe jamani Muhammad si yuleyule tu au tatizo nini??
Source:
Kuwait mosque explosion: Possible Isis bomb attack launched on Shia Muslims during Ramadan Friday prayers - Middle East - World - The Independent
Unajuwa Wa-Tanzania hawana elimu kuhus Siasa za nje Wa-Tanzania wengi wanalichukulia Suala la Udini Ukabila ndilo linalo waumiza kichwa hawafikirii mbele wengi wao wanachukuwa Siasa kama mpira Simba na Yanga ubishi sisi Wa-Tanzania ndio tunao lakini elimu hatuna zaidi ya ubishi.dah!kiongozi umewapa shule ya bure kabisa....
Wewe unachokizungumza hata hukijuwi unafananisha hao Magaidi Wa ISIS na Waislam wa Tanzania? Wewe unajuwa ni nani aliyeanzisha hiyo Bakwata hapo Tanzania? Hebu nipe jibu?Usiseme magaidi wa IS, sema waislam wa Sunni wamewalipua waislam wenzao wa Shia. Au haujui kuwa IS ni waislam was Sunni? Hata hapa bongo wapo! Ndio wanaowapiga vita Bakwata! Lengo lao ni kujenga himaya (siyo taifa) ya kiislam! na kwa taarifa yako wanaungwa mkono na waislam wa madhehebu ya Sunni duniani kote! Wana pesa kibao na wana ushawishi Mkubwa kwa jamii ya kiislam yote kwa kujifanya wanatetea maslahi ya waislam kabla hawajadhihirisha ukatili wao halisi. Waislam wengi huwashabikia kwa kuwaona ni majasiri, hawaogopi serikali! Lakini mwisho wa siku wahanga wao wakubwa ni waislam wenzao! Kwa Tanzania ni wachache, ukitaka kuwatambua waulize kama wanaitambua Bakwata! Utawasikia wakiituhumu bakwata kuwa hiyo ni ya Serikali siyo ya waislam! Na wenyewe hutamba kuwa japo ni wachache lakini wanawaburudha waislam walio wengi bila wao wenyewe kujitambua, na ndio wamiliki wa taasisi nyingi za kiislam kama vile vyombo vya habari kama vile magazeti, TV, na redio. Wana pesa nyingi za ufadhili toka mataifa ya kiarabu yenye mwelekeo wa Sunni. Waislam jihadharini sana msije mkapandikiziwa chuki dhidi ya Bakwata na hawa jamaa! Nia yao sio nzuri japo hujifanya wanatetea maslahi ya waislam kumbe hayo ni maficho yao tu!
Kirefu cha ISIS ni [TABLE="class: table tdata, width: 633"]
[TR]
[TD="class: tal tm"]ISIS[/TD]
[TD="class: tal dx"]Israeli Secret Intelligence Service[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mkuu Echolima Soma ndipo utakapo elewa ni nini maana ya neno ISIS hata nikikufahamisha kwa upeo wako wa elimu ndogo hutanielewa ni sawa sawa na kumpigia gita mbuzi ili apate kucheza nyimbo unayoimba je mbuzi anaweza kucheza nyimbo ukimipigia Gita? Amka upate kuelewa ni akina hao ISIS? Wamarekani na Wa Israil wametengeza hiyo ISIS ili baadae hao Wa ISIS waje kupigana vita na Aduwi mkubwa wa Israil Taifa la Iran ili Taifala Israil lipate kuwa salama hapo Uarabuni. Nimekupa kijisiri kidogo hicho ndio Maana nikaweka Video Rais Wa Urusi Mr Putin anawalalamikia Wa Israil ndio wanawapa mafunzo ya Kijeshi hao Wana mgambo wa ISIS kwanini MR Putin Rais wa Urusi ana walaumu wa israil? jiulize wewe mwenyewe kisha utapata jibu kwako mwenyewe ninakuacha hapo ulipo kwa leo.
katika hali ya kushangaza waislam wa shia waliokua katika swala ya ijumaa,msikiti wao umepigwa bomu na magaidi wa is.angalau watu watatu wafa na wengine wengi kujeruhiwa.
Ona sasa wanamalizana wenyewe jamani muhammad si yuleyule tu au tatizo nini??
Source:
kuwait mosque explosion: Possible isis bomb attack launched on shia muslims during ramadan friday prayers - middle east - world - the independent
hao Al shabaab, na BOKO haram ni Magaidi wanatumia jina la kiislam kwa kisingizio chao cha kufanya mambo wanayo yataka. Hata mimi na wewe tukiwa na pesa tunaweza kuunda kikundi chetu cha Kigaidi na tukatumia jina la Dini ya KikristoNa hao Al shabaab, na BOKO haram siyo waislaam,Bali ni waisrael na marekani! Kaa chini utafakari! Itendee haki dhamiri yako! Wote hao ni waislaam wanasali msikitini na husali humwomba Allah kabla na wakati wanachinja watu, angalia video ya
wachinjaji hao kama unabisha!