Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 57,243
- 90,302
Msemaji wa Ikulu ya Marekani kupitia ukurasa wake wa Twitter ametamba kufungwa kwa msikiti mkubwa zaidi huko Abu Dhabi, Falme za Kiarabu kupisha ugeni wa Boss wake Trump. Anasema ni mara ya kwanza katika historia msikiti huo kufungwa! Hakika Mmarekani ni lulu huko Mashariki ya kati ya matajiri wa mafuta.