m'meghafilika na Dunia nyie !...........bahati mbaya hata hiyo elimu haiwasaidii ! Iweje una PhD lakini unaamini mungu alikamatwa kisha akapigwa mpaka kuuawa na watu wake !
Na ni chuo maarufu kwa ugaidi duniani. Magaidi wote wamesome hapa na wengine kuwa wahadhiri hapa.
So pathetic, msomi anasomea phd ya kujilipua? Bila shaka na wee Ally Kombo unapanga kujiua
It's sad kuona jinsi insults toka imani moja kwenda nyingine and vice versa. Cha ajabu most of us we never even chose hizo imani, we were born in families na tukafunzwa kuamini either uislam or ukristo. Ingetokea tumebadilishana family tulikozaliwa probably Muislamu angekuwa mkristo and vice versa. Jaman kwanini tusiheshimu tu imani za wengine? What is right to you is wrong to another.