Hata kama tunajilazimisha kuichukia Radio yake,maelezo anayotoa kuhusu harakati zake za kutafuta maendeleo
yamenivutia sana.Kama wewe ni kijana kama mimi nashauri umcheki hapo udake mawili matatu ya kujifunza ktk michakato ya kutaka kutimiza Ndoto.
Last edited by a moderator: