Msikilize Bernard membe anapochemka clouds FM

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
43,589
Points
2,000

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
43,589 2,000
Aaahaaaa hawa bwana sijui walitolewa chooni kuja kuchaguliwa
ameulizwa kuhusu ubalozi wa libya kuweka bendera ya waasi je tunaitambua serikali ya waasi
akadai hilo alinisumbui wakiweka ainisumbui swala ni kama wakileta mtu wao mwingine hapo procedure lazima
zifwate sasa anaulizwa hawa jamaa wanaweza kuamua saaa yoyote kujiwekea bendera wanayotaka na kama
hivyo je alipoleta utambulisho alitumia bendera ya nchi gani na kama ni tofauti yyyyyyyyy waweke bendera wanavyotaka wao???
Narudia tena hilo alitusumbui waweke hata bendera mia

loooohh kazi ipo kwa kweli

ERIC JOSEPH

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Messages
569
Points
195

ERIC JOSEPH

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2011
569 195
Du huyu mze vp inamana ye hajui kama wananchi wengi wanamsikiliza mpaka aonge utumbo kama huo.jaman viongoz wetu kama wanaona hawana point wala uzibitisho bora wasiluhusu mahujiano

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Messages
24,857
Points
2,000

Shark

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2010
24,857 2,000
Huyu bwana haamini tu kua Ghadaffi hayuko madarakani,
Bado anakumbuka ile misaada waliyochakachuana na METL wakagikia kutoleana maneno machafu na MO.
Anawaza kama wakiwatambua waasi, eti Ghadaffi anaweza kurudi madarakani bahati mbaya akamdai hela zake alizokwishazipigia hesabu ya kuenga kiwanda cha siment kwao,
.....la mdimu ana visa sana!!!!
Angeamini kua Ghadaffi hana chake kwa sasa, akubaliane kushirikiana na waasi asingechmka kiasi hicho!!

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
43,589
Points
2,000

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
43,589 2,000
huyu bwana haamini tu kua ghadaffi hayuko madarakani,
bado anakumbuka ile misaada waliyochakachuana na metl wakagikia kutoleana maneno machafu na mo.
Anawaza kama wakiwatambua waasi, eti ghadaffi anaweza kurudi madarakani bahati mbaya akamdai hela zake alizokwishazipigia hesabu ya kuenga kiwanda cha siment kwao,
.....la mdimu ana visa sana!!!!
Angeamini kua ghadaffi hana chake kwa sasa, akubaliane kushirikiana na waasi asingechmka kiasi hicho!!
aisee umeshika mikoba ya sheikh yahaya nini??yaani anajibu sasa hivyo hivyo hati kinachofanya wasiweze kuikubali ni kwamba unaweza kuikubali serikali baada ya wiki ukashaangaa gadafi na wenzake wamechukua nchi utawakubali wangapi
aisee huyu ana siri kubwa sana sana na misaada ya mzee sio hivi hivi

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Messages
24,857
Points
2,000

Shark

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2010
24,857 2,000
Huyu "....la mdimu" alikua mfuasi mkubwa wa Jamaa,
Maana si bure mpaka jamaa akaamua kumsamehe lile deni hivihivi tu,
"....la mdimu hua anaishi siku zote alifikiria kua yeye ndie Rais ajaye, may be kuna makubaliano walishaingia in advance na jamaa ambayo kwa sasa yameshavurugika Anaachongea sasa ni utashi wake binafsi zaidi kuliko uhalisia wa jambo lenyewe.

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
27,725
Points
2,000

ndetichia

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
27,725 2,000
Aaahaaaa hawa bwana sijui walitolewa chooni kuja kuchaguliwa

ameulizwa kuhusu ubalozi wa libya kuweka bendera ya waasi je tunaitambua serikali ya waasi

akadai hilo alinisumbui wakiweka ainisumbui swala ni kama wakileta mtu wao mwingine hapo procedure lazima

zifwate sasa anaulizwa hawa jamaa wanaweza kuamua saaa yoyote kujiwekea bendera wanayotaka na kama

hivyo je alipoleta utambulisho alitumia bendera ya nchi gani na kama ni tofauti yyyyyyyyy waweke bendera wanavyotaka wao???

Narudia tena hilo alitusumbui waweke hata bendera mia

loooohh kazi ipo kwa kweli

mkuu pdiddy najua amekuuzi ustadh membe lakini kidogo unge edit ka title..

Forum statistics

Threads 1,358,210
Members 519,262
Posts 33,162,581
Top