Congenital LiarZakuambia changanya na za kwako.
je kwanini ni kipindi hiki za lalasalama.
CCM wana wasiwasi kuwa wananchi watasusuia kupiga kura,
Na muona baba aminata akiilaumu chadema kuwa ni wakaidi na wasio kuwa na adabu.
Kadri upepo unavyopuliza ndivyo uchi wa kuku unavyoonekana.
View: https://www.youtube.com/watch?v=aQDnws2L5YA
Je huyu Mzee nani kamtuma kuja kuzungumza haya . Je ni Maza au rafiki yake.?
Wanamtandao uchaguzi ukikaribia tofauti huziweka pembeni, ili kulinda tunu ya Taifa Amani 💵💵💵
Kichwa cha habari kiko tofauti na mzungumzajiZakuambia changanya na za kwako.
je kwanini ni kipindi hiki za lalasalama.
CCM wana wasiwasi kuwa wananchi watasusuia kupiga kura,
Na muona baba aminata akiilaumu chadema kuwa ni wakaidi na wasio kuwa na adabu.
Kadri upepo unavyopuliza ndivyo uchi wa kuku unavyoonekana.
View: https://www.youtube.com/watch?v=aQDnws2L5YA
Hujambo AminataHahahahaha lololol wewe mchokozi.....
Kaongea masaa mawili kweli ? Siwezi kusikiliza.
Nitasoma summary zenu.
Hujambo Aminata
Hii ni video ya January 2024 na sio ya leo!Zakuambia changanya na za kwako.
je kwanini ni kipindi hiki za lalasalama.
CCM wana wasiwasi kuwa wananchi watasusuia kupiga kura,
Na muona baba aminata akiilaumu chadema kuwa ni wakaidi na wasio kuwa na adabu.
Kadri upepo unavyopuliza ndivyo uchi wa kuku unavyoonekana.
Hotuba fupi ni dk 3-5Mkuu, punguza makasiriko.
Kama una hoja SEMA?