Msigwa: Serikali inatuwinda kutuua akiwemo Lema, Mbowe & Mdee. Wote tunafuatiliwa na Serikali ya kidikteta

Yaani hao , jela inawahusu sana labda uwaambie tu waishi uko huko na mgonjwa daima kokote atakakopelekwa.

Pastor gani wa ujanja ujanja na mfitini kiasi hicho!? Akiludi huyo pastor na mdee jela lazima iwahusu kwa kweli.
Ili akawahubirie walio jela pia, maana uraiani ameona afanye ufitini na uchochezi.
Lisu mlimpeleka jela mkashindwa kumfanya chochote ila mwisho wa siku mkataka muitoe roho yake.... Tayr mania yenu tunayajua!!!
 
be580a40c5f730bc343bef7391f48733.jpg
 
Nimejiuliza hili Swali mkuu, Msigwa yupo Nairobi badala kuwa Bungeni Dodoma kama nani!? Kama mke wa mgonjwa, ndugu wa karibu wa mgonjwa, Mwenyekiti wa Chama !?
Watu wa aina ya Msigwa ni hatari sana kwa Taifa letu.
Na we km nani unauliza hayo maswali kwenu wanaume km mnaoana wengine hatutumii ivyo vitu? Na jiulize kwnn kaenda msigwa na siyo wewe hapo
 
Msigwa kayasema hayo akiwa Nairobi na kuishutumu serikali kuwa ndio chanzo cha mauwaji hasa ya wanasiasa wa upinzani.



Asema spika kaungana na serikali kifanya maamuzi inayotaka serikali na kuahindwa kusimama kama bunge la kusimamia serikali.


Msigwa kwa uongo huu na mitusi hii ndiyo maombi??? Acha upuuzi mwenzako kaumia sana nilitaraji utakuwa mfariji ktk kipindi hiki kigumu lkn naona wewe umepata jukwaa LA kuongea siasa ulizozoea
 
Na we km nani unauliza hayo maswali kwenu wanaume km mnaoana wengine hatutumii ivyo vitu? Na jiulize kwnn kaenda msigwa na siyo wewe hapo
Mimi nimeuliza kama baba yako wakambo ambaye umegoma kuhama katika chumba changu cha uani mpaka sasa kwa sababu ya kukesha kwenye mitandao na kutukana watu.
 
Nilitoa pendekezo kuwa wale wabunge wote machachari wanaotoa hoja nzito zinazoleta hisia kali wapatiwe ulinzi. Mh. Msigwa anahisi serikali ina njama za kuwadhuru wabunge wa aina hii kama yeye, Lema, Mbowe, Lissu, Mdee, n.k.

Hivi kuna njia gani mbadala (zaidi ya kutumia vyombo vya dola) ya kuwalinda hawa waheshimiwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimeuliza kama baba yako wakambo ambaye umegoma kuhama katika chumba changu cha uani mpaka sasa kwa sababu ya kukesha kwenye mitandao na kutukana watu.
Nasikia mnahesabiwa mmecomment mara ngapi then ndo mnapewa buku 7 zenu so ngoja nisiache kuku jibu ili uweze kuingiza buku 7 yako mapema
 
Msigwa kayasema hayo akiwa Nairobi na kuishutumu serikali kuwa ndio chanzo cha mauwaji hasa ya wanasiasa wa upinzani.



Asema spika kaungana na serikali kifanya maamuzi inayotaka serikali na kuahindwa kusimama kama bunge la kusimamia serikali.

Umejuaje?
Au umeoteshwa kama Lema!
Mnatafuta sifa za kijinga
Una nini cha maana hadi uuawe?
 
Tooting your own horns i see.cement malalamiko yenu with proof..muuawe ili iweje,mmefanya nini, kwani mnapanga kuipindua nchi, halaf na mtu anatetea ujinga kama huu.jitu liko hotelini Nairobi linakula bata anaongea habari za kutia Tàifa aibu.

Kama hawana mbinu ya kushika dola nyingine watafute kazi nyingine sio kuleta fujo hapa.....this is our country wengine hatuna ela za kutumbua starehe kwnye nchi za wenzetu...for us Tanzania Is it, nothing more nothing less.Mungu amponye Lissu, polisi wafanye kazi yao ; maisha yaendelee...
punguza povu alafu lisiwe jiwe lomekugona kwa ncha ndogo tu uanze kuona watu wote wana akili zako
 
Wanasiasa wameshasahau hadi kufanya maombi kwa ajili ya uhai wa mtu ...kwanini Tanzania hii...uchunguzi unaendelea...tushikamane tuache mambo ya siasa na uroho wa madaraka ...tuombee uzima wa mtu kwanza
 
Na hapo uchaguzi bado miaka mitatu, je ikifika 2020 ambako jamaa atapingwa kuanzia majukwaani hadi kwenye sanduku la kura itakuwaje na nchi yenyewe yatima hii tunategemea kusaidia na brother from Rwanda
Hata sijui kama tutafika...nishiiiida
 
Hawa wafuatao kwa kukaa kimya kwao wakati uwezo wa kutoa kauli wanao basi nao tunawaingiza kwenye kundi la kulaumiwa kwa nchi kufikia hapo katika kipindi cha miaka miwili tuu.
Jakaya Kikwete,
Ben Mkapa
Alli Mwinyi
Mzee Makamba
Joseph Warioba
Joseph Butiku
Salim Ahmed
Pius Msekwa
Maaskofu
Masheikh
Kwa kutaja kwa uchache. Kwa nini wananyamaza?
We umesahau juz mkuu kasema nini pale jumba jeupe?
 
Taifa hili wapinzani wanalisaliti sasa hasa usaliti huo ukiongozwa na mbowe , msigwa na mdee.

Nazidi kuelewa kuwa Mhe. Lowasa N . Edward ni kiongozi shupavu na mtu mwenye utashi mkubwa sana (200 IQ) na hekima kuu katika siasa na kuhimili changamoto.

Hadi sasa hajatoa tamko la kijinga au la kiusalati kwa Taifa Letu zaidi, kasema TL aombewe.

Sasa, wengine hao ni kama akina Joseph Konyi na type zote za waasi wanaoshiriki kuleta fujo katika nchi zao ila wao hukimbia na kuwa salama.

Watanzania, tuwe macho na tuwe makini na hawa watu ni hatari kwa Taifa Letu.

Mfano, hadi sasa wanatoa matamko ya uchochezi huku wakiwa wametorokea nje ya nchi hali hiyo inamaanisha kuwa; lolote la kutokea huku Tanzania kutokana na matamko yao ya uchochezi wao wenyewe hawatapatwa na janga lolote.

Kwa sababu, wao wameisha kimbia nchi ila sisi humu Tanzania ndiyo tutakaoumia.

Napendekeza, vyombo vya dola viangalie na kutathimini hatua madhubuti za kuchukua katika kuhakikisha kuwa nchi yetu iko salama.

Tena, serikali isiingie kwenye majibizano nao ya kutupiana maneno bali, sheria na taratibu za kudhibiti watu wa hivyo zitumike kwa ufasaha.

Pia, watu wa aina hiyo wadhibitiwe kwa njia sahihi na kupewa onyo kwa sababu maneno yao yote ya kichochezi na kuhatarisha usalama wa nchi yetu.

Tudumishe, Amani na umoja kwa Taifa Letu Tanzania.
Usidanganye watu mkuu..
 
Back
Top Bottom