Hii inatoka kwa Kamanda Msigwa:
Katika taarifa yake mzee Warioba alituelezea mambo kumi yaliyochangiwa zaidi na wananchi
1. Haki za binadamu
2.muungano.
3.huduma za jamii
4.urais wa jamhuri ya muungano
5. Mfuko wa tawala za Mikoa na serikali za mitaa
6.vyombo vya utoaji haki.
.7.raslimali za taifa.
8.vyombo vya uwakilishi
9.mawaziri
10. tume ya uchaguzi
Kikwete anadai waliochangia kuhusu muungano walikuwa wachache sana , kwa hiyo sio tatizo. Soma vizuri takwimu za mzee Warioba hapo chini, waliochangia kuhusu raslimali za taifa walikuwa 5.8%. Kwa kufuata akili ya Kikwete hatuna sababu ya kuhangaika na raslimali za taifa.
Vyombo vya utoaji haki walikuwa 6.9%kwa akili ya bwana mkubwa hatuna sababu ya kujadili kuhusu haki , Angalia huduma za jamii 8.2% kwa akili ya huyu ------ waliochangia mambo ya wanawake ni wachache hatuna sababu ya kulaumu mfumo dume.
Yeyote aliyemandalia hotuba ile amemingiza chaka, ... pole namba moja.
View attachment 147784