Msigwa: Kikwete aliingizwa chaka

Msigwa: Kikwete aliingizwa chaka

tangia mwanzo niliandika humu, kwa nini JK amekazania kutupa data za muungano tu? angeweka na hizo zingine tuone kama zilichangiwa na watu wote ili atushawishi kuwa hili la muungano ndo lilikuwa la wachache.
 
Jk ni mtu wa kupuuzia mambo muhimu ya kitaifa hii ni janga kwa watanzania
 
Hii inatoka kwa Kamanda Msigwa:
Katika taarifa yake mzee Warioba alituelezea mambo kumi yaliyochangiwa zaidi na wananchi

1. Haki za binadamu
2.muungano.
3.huduma za jamii
4.urais wa jamhuri ya muungano
5. Mfuko wa tawala za Mikoa na serikali za mitaa
6.vyombo vya utoaji haki.
.7.raslimali za taifa.
8.vyombo vya uwakilishi
9.mawaziri
10. tume ya uchaguzi
Kikwete anadai waliochangia kuhusu muungano walikuwa wachache sana , kwa hiyo sio tatizo. Soma vizuri takwimu za mzee Warioba hapo chini, waliochangia kuhusu raslimali za taifa walikuwa 5.8%. Kwa kufuata akili ya Kikwete hatuna sababu ya kuhangaika na raslimali za taifa.
Vyombo vya utoaji haki walikuwa 6.9%kwa akili ya bwana mkubwa hatuna sababu ya kujadili kuhusu haki , Angalia huduma za jamii 8.2% kwa akili ya huyu ------ waliochangia mambo ya wanawake ni wachache hatuna sababu ya kulaumu mfumo dume.
Yeyote aliyemandalia hotuba ile amemingiza chaka, ... pole namba moja.
View attachment 147784

Hakudanganywa na mtu yoyote na aliwadanganya wananchi makusudi kwani anajuwa kuwa Watanzania hawana kubukumbu ya jambo hata wakisoma.
Alikuwa kama shekhe au Padri ambaye anajuwa kuwa akikaa kwenye kiriri hakuna wa kumwambia kuwa anachosema anakosea.
Angalia ameharibu hali ya hewa kwa mambo ya kufikirika dhidi ya mambo yaliyokwishafanyiwa utafiti wa maana.

Watanzania tunasukumwa na kipi kiko mitaanina sio nini tunafikiri binafsi!
 
Hii inatoka kwa Kamanda Msigwa:
Katika taarifa yake mzee Warioba alituelezea mambo kumi yaliyochangiwa zaidi na wananchi

1. Haki za binadamu
2.muungano.
3.huduma za jamii
4.urais wa jamhuri ya muungano
5. Mfuko wa tawala za Mikoa na serikali za mitaa
6.vyombo vya utoaji haki.
.7.raslimali za taifa.
8.vyombo vya uwakilishi
9.mawaziri
10. tume ya uchaguzi
Kikwete anadai waliochangia kuhusu muungano walikuwa wachache sana , kwa hiyo sio tatizo. Soma vizuri takwimu za mzee Warioba hapo chini, waliochangia kuhusu raslimali za taifa walikuwa 5.8%. Kwa kufuata akili ya Kikwete hatuna sababu ya kuhangaika na raslimali za taifa.
Vyombo vya utoaji haki walikuwa 6.9%kwa akili ya bwana mkubwa hatuna sababu ya kujadili kuhusu haki , Angalia huduma za jamii 8.2% kwa akili ya huyu ------ waliochangia mambo ya wanawake ni wachache hatuna sababu ya kulaumu mfumo dume.
Yeyote aliyemandalia hotuba ile amemingiza chaka, ... pole namba moja.
View attachment 147784

Nafikiri kajiingiza chaka mwenyewe. Kwasababu alifundisha "AKILI YA KUAMBIWA CHANGNYA NA YAKO" je alisahau usemi alio uasisi mwenyewe?
 
Kama hujui kusoma takwimu hujui tu najua vilaza wengi kama mtoa mada mambo ya pie chart uliyakimbia shuleni leo unataka kujifanya unajua:kikwete ni mchumi msigwa mchungaji tana wa o level.mchungaji na pie chart wapi na wapi mambo ya takwimu tuachie sisi yeye aendelee kakalili vifungu vya bible

Kikwete alipata gentlemen degree hajui chochote kuhusu uchumi ni heri ya msigwa ni mchungaji kuliko huyo mjinga anayetuharibia nchi yetu
 
nmeshaanza kupata jibu la swali la siku nyingi lililonixumbua.
"kwa nini TANZANIA ni masikini?"
 
kwani kikwete alichaguliwa na wananchi wangapi? 2010 na walikuwa asilimia ngapi
 
Back
Top Bottom