K kibugumo JF-Expert Member Joined Jun 19, 2011 Posts 1,518 Reaction score 471 May 20, 2013 #81 fikra za mageuzi zitaenea pande zote za nchi hii,sijui magamba watakimbilia wapi.
OSOKONI JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 10,965 Reaction score 5,344 May 21, 2013 #82 kinduro bompwa said: Kwani ww ni mke wa nani Click to expand... mimi ni mume wa mkeo, muulize juzi kalala wapi?
kinduro bompwa said: Kwani ww ni mke wa nani Click to expand... mimi ni mume wa mkeo, muulize juzi kalala wapi?
OSOKONI JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 10,965 Reaction score 5,344 May 21, 2013 #83 thatha said: matusi ni chakula chako nini? sijawahi kuona umepost mada yoyote humu isipokuwa matusi, sasa ukitwa Mbwa kweli utakuwa umekosewa. Click to expand... hilo kwani ni tusi? huyo aliyeeuliza mkewe ni polisi sasa si ndio atajua vizuri kwa nn msigwa hakufungwa pingu, niite mbwa au whatever sibadiliki kuwa mbwa ila sitaacha kukosoa wanaoleta michango ya hovyo hovyo hapa!!!
thatha said: matusi ni chakula chako nini? sijawahi kuona umepost mada yoyote humu isipokuwa matusi, sasa ukitwa Mbwa kweli utakuwa umekosewa. Click to expand... hilo kwani ni tusi? huyo aliyeeuliza mkewe ni polisi sasa si ndio atajua vizuri kwa nn msigwa hakufungwa pingu, niite mbwa au whatever sibadiliki kuwa mbwa ila sitaacha kukosoa wanaoleta michango ya hovyo hovyo hapa!!!