wamepatia mkuu!Waliomdhamini wamepoteza
siku hizi kulala polis sio kazi, ccm haijui kuwa inazidi kutukomaza.!!
mbona hana pingu? .......
kama utamuona tena huko.na Jumapili mnada kama kawa, hakuna kunyamaza kamanda Msigwa, mpaka kieleweke.....
Chadema wajinga sanaccm wajinga sana
Kuna jambo amefanyiwa huko mahabusu nadhani atatulia sasakama utamuona tena huko.
hili swali muulize mkeo ana jibu!!
Ametolewa baada ya kusababisha vurugu na hivyo kuswekwa lupango, mbona unajikanyaga mkuuHatimaye mchungaji MSIGWA ametolewa leo kortini kutokana na vurugu zilizotokea jana hapa Iringa.
Kuna jambo amefanyiwa huko mahabusu nadhani atatulia sasa
Kwani ww ni mke wa nanihili swali muulize mkeo ana jibu!!
teh teh teh teh, vibaya hivyo jamani, Mchungaji kabisa.
CCM ni janga la taifa.