Msigwa alisomea wapi uchungaji?

kwani wewe utaalamu wa RAMBIRAMBI ulisomea wapi!?
 

haya ni mameno ya Mch. Msigwa (MB) kwenye Kongamano la BAVICHA pale Landmark Hotel Ubungo:

"we are the product of the previous generation, not the prisoners of the previous generation

"three things...

"1. conserving the (past) good
"2. striving for new creative thinking

"don't die without doing nothing for your society and country"

"CHADEMA hatutaki vijana washabiki, bali tunataka vijana wenye hoja"

mwisho wa kunukuu.

wewe unaemcheka Msigwa eti kisa alikuwa shoe-shine, ama muuza genge, tunakuona punguwani tu. For we the young generation of the United Republic, Msigwa is an inspirational figure.

kafie mbele....
 

Hivi Kiazi wewe unaweza kujilinganisha na Msigwa wewe kiazi.
 

we sio mzima lukosi utamwitaje binadamu mwenzio jiwe?------- sana wewe uchungaji hausomewi ni kipawa hakuna shule ya uchungaji na sio kila mtu anaweza kuwa mchungaji
 
CCM na Mkakati wa Mafunzo ya kijeshi! - YouTube
 
nawe weka elimu yako ya shunguli hii uliipata wapi?

 
Hujitambui, huwezi ukaleta swali kwa hisia namna hii, kwanza kama mnafahamiana na msigwa kwanini usimuulize mwenyewe?
 
Nimefanya tadhimini ya post zako na ninaona kama unaumwa,karibu mirembe ukija ulizia ward 13,utanikuta nikupe dawa.
 
Lukosi,
Babox yamekuaribu kiasi haipi siku bila kutaja ma/jina la kiongozi/mwanachama yeyeto wa CDM. Toa mawazo ya kujenga Taifa acha kuchunguza maisha ya mtu. Hao waliokuwa majambazi na leo wapo ccm hamuwaoni?

Mawazo yangu
 
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]All Africa Bible College, South Africa[/TD]
[TD="align: center"]B.Ministry[/TD]
[TD="align: center"]1999[/TD]
[TD="align: center"]2004[/TD]
[TD="align: center"]GRADUATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sangu Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1983[/TD]
[TD="align: center"]1986[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Magoye Primary School[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1976[/TD]
[TD="align: center"]1982[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY[/TH]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[/TABLE]
 

Unamfaham msigwa ??
Sikuwah jua kuwa watu wanaweza kuwa waongo kiasi hiki. Yaani mtu anadirik kuandika uwongo mweupe mchana kweupe kabisa tena kwa kujiamin. Puh!
Me sio kada wa chadema,wala, mwanachama,wala shabiki. pia cyo mwanachama,kada wala shabiki wa ccm. Am jst an ordinary man. With friends waliopo kwenye vyama vyote,fan zote,dini zote etc etc.

Namfaham msigwa walau kwa udogo, namfaham tangu anahustle iringa,na mke wake yule wa kwanza .mama kulwa na dotto.(RIP) ,akaenda south africa akasomea uchungaji, akarud kafungua biashara zake za stationary (two sisters stationary miyombon) ,akalink na chuo alichosoma south wakaanzisha branch ya hicho chuo iringa.kiufup namfaham ,maisha yake nje ya siasa ni maisha ya mtu anaejua kufight sana ,ni mfano wa kuigwa kwa vijana. Sijabahatika kuhudhuria mkutano wake wa siasa lakin nimehudhuria ibada kanisani kwake ,two or three times nikiwa iringa.
 
Kwa hiyo kila anaesomea mambo ya dini automatic anakuwa mchungaji?

Hebu tuwe wakweli hapa. unataka kutuambia wanafunzi wote waliopita seminari ni mapadre?

Uchungaji wa Msigwa ni wa kujibambikiza tu, sijawahi kuona mchungaji akichochea vurugu siku ya kumuabudu Mungu

Nakumbuka jumapili moja mchungaji alikacha kwenda kanisani akaenda pale barabara mbili kuchochea vurugu kwa wamachinga,. matokeo yake polisi wakapiga mbata kichogo na kumsweka rumande
 
Moderator toa hii haihusiani na siasa
 
Hoja nyingine bwana zinatia aibu.Inatuhusu nini sisi watanzania kujua uchungaji wa Msigwa?unataka kutambikia? idiot!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…