Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 19,114
- 22,874
Shambulio la risasi ni shambulio tu halina tofauti na shambulio lingine la risasi, labda la kwenye sinema.Nimeona wengi wanajaribu kulifananisha Shambulio la Ole Sendeka na lile la Tundu lissu, haya matukio ni tofauti kabisa wengine wamedhulumiana ama pesa ama ardhi au ni wizi wa kawaida.
Shambulio la Lissu lilikuwa spesho kwa ajili ya kuondoa uhai wake na lilikuwa haswaa Linahusu siasa!
Tundu Lissu hakushambuliwa vichakani Wala msituni, alishambuliwa katikati ya jiji ,Tundu lissu alishambuliwa mchana jua Linawaka. Hili la ole sendeka limetokea huko simanjiro aangalie namna anavyoishi na watu ,huko kwao.
Na ndio sababu mpaka wa leo huyu dereva wa Lissu bado anajificha Ubelgiji bila sababu rasmi kutajwa na wahusika wa Chadema.Hata tukio la Lisu lilikuwa drama tu ndiyo maana dereva alifichwa hadi leo...
Zile gololi zilirishwa kutokea ufipa ili kumtisha Magufuli aachane na mradi wa bwawa la umeme
Of course hili la Ole Sendeka ni drama tu. Yaani washambuoiaji washambulie gari peke yake?
Kuna la mbinu la la kutafuta huruma ya wananchi kwenye uchaguzi wa mwakani kupitia drama hii.
Ndiyo ni FUTUHI ,yaani watu wanakuja wanapiga gari risasi halafu hakuna hata mmoja aliyejeruhiwa na hapo hapo Ole Sendeka anatoa mguu wa kuku na kupiga juu..Hii ni FUTUHI.....
sasa hapa we unapotosha kwa maksudi ya siasa wakati uhalisia unaujua.Hata tukio la Lisu lilikuwa drama tu ndiyo maana dereva alifichwa hadi leo...
Zile gololi zilirishwa kutokea ufipa ili kumtisha Magufuli aachane na mradi wa bwawa la umeme
sasa hapa we unapotosha kwa maksudi ya siasa wakati uhalisia unaujua.Hata tukio la Lisu lilikuwa drama tu ndiyo maana dereva alifichwa hadi leo...
Zile gololi zilirishwa kutokea ufipa ili kumtisha Magufuli aachane na mradi wa bwawa la umeme
Tumeandika thread kuhusu huu uhuni wa Sendeka Mods wamefuta. Nasisitiza hili ni igizo.Of course hili la Ole Sendeka ni drama tu. Yaani washambuoiaji washambulie gari peke yake?
Kuna ka mbinu ka kutafuta huruma ya wananchi kwenye uchaguzi wa mwakani kupitia drama hii.
Kabisa Mkuu huku Emboreti watu hawana mbavu...Ndiyo ni FUTUHI ,yaani watu wanakuja wanapiga gari risasi halafu hakuna hata mmoja aliyejeruhiwa na hapo hapo Ole Sendeka anatoa mguu wa kuku na kupiga juu..
Tukio la Lissu lilikuwa la kutisha....Ni muujiza Lissu kutoka salama pale na kudunda mpaka leo.
MUNGU ni FUNDI Hakumchelewesha muuaji kamlaza Milele ChattleNimeona wengi wanajaribu kulifananisha Shambulio la Ole Sendeka na lile la Tundu lissu, haya matukio ni tofauti kabisa wengine wamedhulumiana ama pesa ama ardhi au ni wizi wa kawaida.
Shambulio la Lissu lilikuwa spesho kwa ajili ya kuondoa uhai wake na lilikuwa haswaa Linahusu siasa!
Tundu Lissu hakushambuliwa vichakani Wala msituni, alishambuliwa katikati ya jiji ,Tundu lissu alishambuliwa mchana jua Linawaka. Hili la ole sendeka limetokea huko simanjiro aangalie namna anavyoishi na watu ,huko kwao.
Siasa mchezo mchafu smart
Kuwen na uoga drama iliyotaka kutoa uhai wa mtu?hivi unafikiri alichofanyiwa lisu ningefanyiwa mim na wewe mangu pakavu tia mchuzi tungetoboa hata wiki bila kuchimbiwa ardhin?haya mambo ya sendeka tuliachie jesh litatupa majibu nin kimetokea tusivuke mipaka tutakufuruHata tukio la Lisu lilikuwa drama tu ndiyo maana dereva alifichwa hadi leo...
Zile gololi zilirishwa kutokea ufipa ili kumtisha Magufuli aachane na mradi wa bwawa la umeme
zaidi ya hayo yote,jivikeni upendo, ni kifungo cha ukamilifu (ukamilifu wote umefungwa kwenye Neno upendo). vile usivyopenda kupigwa risasi, usimpige mwenzio, vile unavyopenda kusamehewa, msamehe mwenzio, vile usivyopenda kutendewa neno lolote baya, usimtendee mwenzio. ishi ukijua sisi ni wanadamu tu ila yupo hakimu wa kweli, wa wote, yeye aliyeushika uhai wa kila mmoja wetu, hivyo tusiwe na kiburi/jeuri sana, maisha yetu sote hayapo mikononi mwetu, kuna Mfalme wa wafamle, Mungu wa miungu yote anatawala. hata uwe Rais au kiongozi gani jua hata hautawali, hivyo usiwaumize wenzako, wewe nawe unahitaji msaada tu.Nimeona wengi wanajaribu kulifananisha Shambulio la Ole Sendeka na lile la Tundu lissu, haya matukio ni tofauti kabisa wengine wamedhulumiana ama pesa ama ardhi au ni wizi wa kawaida.
Shambulio la Lissu lilikuwa spesho kwa ajili ya kuondoa uhai wake na lilikuwa haswaa Linahusu siasa!
Tundu Lissu hakushambuliwa vichakani Wala msituni, alishambuliwa katikati ya jiji ,Tundu lissu alishambuliwa mchana jua Linawaka. Hili la ole sendeka limetokea huko simanjiro aangalie namna anavyoishi na watu ,huko kwao.
Kuwen na uoga drama iliyotaka kutoa uhai wa mtu?hivi unafikiri alichofanyiwa lisu ningefanyiwa mim na wewe mangu pakavu tia mchuzi tungetoboa hata wiki bila kuchimbiwa ardhin?haya mambo ya sendeka tuliachie jesh litatupa majibu nin kimetokea tusivuke mipaka tutakufuru
Acha siasa maji taka kwenye Maisha (UHAI) wa WATUHata tukio la Lisu lilikuwa drama tu ndiyo maana dereva alifichwa hadi leo...
Zile gololi zilirishwa kutokea ufipa ili kumtisha Magufuli aachane na mradi wa bwawa la umeme
Ila yeye kama vile anawajua maana ametaja wasiohusikaWatu wasiojulikana wamerud au