Nina miaka 27, ni mwembamba kiasi, maji ya kunde, ni mkristo (RC), nimehitimu chuo. Natafuta mdada ambaye atakuwa mke wangu baadaye, umri 20-25. Mrejesho hapa hapa.
fanya maisha kijana......huna hata mda mrefu unaanza kutafuta...baadae mnaanza kuja kulia na kuhangaika.....nakushauri beba box kwanza haya ammbo yapo.............
Nina miaka 27, ni mwembamba kiasi, maji ya kunde, ni mkristo (RC), nimehitimu chuo. Natafuta mdada ambaye atakuwa mke wangu baadaye, umri 20-25. Mrejesho hapa hapa.
Yani ..dogo kila siku unakutana nao toka ulivozaliwa mamako anakupeleka klinic ya watoto,ukaenda shule, ukapata kazi (kama unayo) hadi sasa huna wadhani utapata humu mtandaoni??? Au kuna hitilafu fulani unayo unajaribu kutuambia?