Msichana yupi anafaa kuoa

Msichana yupi anafaa kuoa

Sijui niseme ni udhaifu wa kuongea au ni nini?
Yaani imefikia hatua mpaka mtu anatafuta sifa za msichana wa kumuoa, tunaelekea wapi sasa?

Sifa za mtu wa kumuoa hazitafutwi bhana, kila mmoja anazo sifa zake.
Usitake kuishi kama mwingine aishivyo, ishi wewe kama wewe.
 
ah watu wenyewe mara wawe nawe mara oh i met a new guy am so inlove with him huyu mwalimu simfeel kivile...nani anataka upuuzi huo

ha ha hujui mapenzi kiti cha bus wewe unashuka mwenzako anapanda
 
Katika hali ya kawaida kibinadamu, ni kazi sana kupata msichana wa ukweli wa kumweka ndani awe mama watoto wako. Sasa naomba tusaidiane sifa za msichana anayefaa kuoa, na yupi hafai?

watest anayesema No to sex til mariage na anakomaa huyo ndio chaguo jema,
u have to test all soround u who wil say BIg no
 
Katika hali ya kawaida kibinadamu, ni kazi sana kupata msichana wa ukweli wa kumweka ndani awe mama watoto wako. Sasa naomba tusaidiane sifa za msichana anayefaa kuoa, na yupi hafai?
Ni yule ambaye ikifika jioni anakuuliza umeingiza shilingi ngapi?
 
"Mke mwema ni nani awezaye kumwona" so ww mwenyew utamtambua kwa macho yakooo
 
Back
Top Bottom