Msichana wa kuuza duka

Msichana wa kuuza duka

Tanzanian lady

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Posts
261
Reaction score
320
Habari zenu wakubwa
Anahitajika binti aliyemaliza form four wa kuuza duka mkoani

Awe anatokea Singida,babati au morogoro awe mcha Mungu malazi ataishi kwa mwajiri.
Unayeweza nitafutia huyu binti nipm
 
Unayo maduka mangapi unayoyauza?

Au unatafuta msichana wa kuuza mali dukani??
 
Habari zenu wakubwa
Anahitajika binti aliyemaliza form four wa kuuza duka mkoani

Awe anatokea Singida,babati au morogoro awe mcha Mungu malazi ataishi kwa mwajiri.
Unayeweza nitafutia huyu binti nipm
sema unatafuta mke kijanja!nyie wanyiramba mna tabu sana
 
Back
Top Bottom