Msichana wa kazi za ndani anahitajika

Msichana wa kazi za ndani anahitajika

JONATHAN KAMWAVAH'S

Senior Member
Joined
Oct 9, 2012
Posts
184
Reaction score
24
Msichana wa kazi za ndani anahitajika,awe mwenye maadili anayejuwa nini anafanya,awe mchapakazi,msafi mwenye bidii na kazi,hakuna watoto wadogo ila nimajukumu ya kawaida tu,kwa mawasiliano 0783673996
 
Msichana wa kazi za ndani anahitajika,awe mwenye maadili anayejuwa nini anafanya,awe mchapakazi,msafi mwenye bidii na kazi,hakuna watoto wadogo ila nimajukumu ya kawaida tu,kwa mawasiliano 0783673996

Nipo tayari........je...
1. Unaishi mwenyewe.....?
2. Upo wapi.....?
3. Mshahara sh ngapi....?

Mengine nitauliza nikiwa kwenye interview
 
Nipo tayari........je...
1. Unaishi mwenyewe.....?
2. Upo wapi.....?
3. Mshahara sh ngapi....?

Mengine nitauliza nikiwa kwenye interview[/ QUOTE]ni kwaajili ya kumsaidia mama yangu cos kazi zinamzidi,katuo cha kazi ni mkuranga mini,mshahara ni elfu arobaini.
 
Yupo yule wa UGANDA anachohitaji ni dhamana tuu au kufuta kesi tena unamchukua bureeeeee !!!!! bila ya mshahara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom