Msichana wa kazi ameniweka pabaya sana

Msandawe Halisi

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
647
350
Mwezi uliopita, mke wangu alisafiri kikazi mkoani. Nikawa nimebaki mimi, msichana wa kazi na watoto wetu 3. Kati ya hizo siku ambazo mke wangu alikuwa safarini nilifanya tendo la mdoa na msichana wa kazi takribani mara 4, sikutaka kufanya naye zaidi ya mara moja ila ukweli mambo aliyonifanyia sikuamini macho yangu, machine full intackt. Siwezi kusema nilifanya nae kimakusudi au bahati mbaya bali muhemko ulinipelekea kufanya hivyo hasa uhuru ulio kuwepo na mavazi ya msichana wa kazi yalichangia.

Kwa bahati mbaya msichana wa kazi anavitu vingi ninavyo vipenda ikiwemo makalio mazuri pamoja na rangi ya mwili wake.
Sasa shida katika familia yangu imeanza baada ya mke wangu kurudi. Heshima ile ambayo msichana aliyekuwa nayo kwa mke wangu haipo tena. Kila kukicha mke ni kumpigia makele kutokana na uzembe wa utendaji wake wa kazi. Ikafikia siku msichana wa kazi alimwambia wife kwamba leo upo utanisaidia kufanya kazi. Mbaya zaidi kuna siku mke alikosea alipo mpa nguo zangu afue akawa ameichanganya nguo yangu ya ndani katika hizo nguo.

Msichana akaifua huku akifahamu kwamba ajawahi pewa nguo kama hiyo aifue. Kila siku nimekuwa ni msuluhishi wa matatizo ya mke wangu na msichana wa kazi. Siku moja katika usululishi mke alitamka kwamba huyu siku hizi ananiona tupo sawa. Akili ikanizunguka
. Sasa kibembe kilikuwa jana. Mke aliondoka mapema kwenda kazini, nikaamua kumkalisha msichana wa kazi chini kumuhoji mabadiliko yake pamoja na ugomvi wa kila siku kati yake na wife. Sasa wakati namuhoji alibanwa na kitu kooni ikamlazimu akimbilie wash room. Nikabaini msichana ana dalili za ujauzito.

Nikaanza kumtyte kama ana mimba na jee hiyo mimba ni ya nani ili anieleze nijue wapi pa kuanzia. Ukweli mimi nilitembea naye kavu kavu ila nilikuwa makini sana wakati wa kufika mshindo. Nilihakikisha sperm nazimwaga njee. Nikamwambia si anafahamu fika kwamba wakati nilifanya naye mbegu zangu nilizimwaga njee, akanijibu hafahamu.
Nilijitahidi sana kumbana ili aniambie ni kijana yupi pale mtaani ana mahusiano naye, lakini alikataa kata kata. Ikanilazimu kwenda pharmacy kununua kifaa cha kumpimia ujauzito. Nikamwomba anipatie mkojo wake nikampima.

Ukweli mistari mwekundu ikatokea miwili ikimaanisha tayari anayo. Nikamjibu kwamba hana mimba ili hali mimi nampeleleza kijana ambaye anamahusiano naye nimfahamu. Binafsi naamini kabisa siyo muhusika wa hiyo hali.
Sasa kinachonichanganya mpaka dunia naiona chungu ni hili. Je, ikija kubainika kwamba mimi nilikwisha wahi kushare na msichana wa kazi itakuwaje kwa mke wangu na ndugu jamaa na marafiki? Je ndoa yetu tukufu itakuwaje? Je msichana akisema hiyo mimba ni ya kwangu itakuwaje?

Ndugu zangu hili jambo linaweza mtokea mtu yeyote kati yetu kwa sababu tuna mioyo ya nyama na si ya chuma. Naombeni mnipe option yeyote ambayo aitafanya mke wangu aifahamu hili swala ambayo naweza ifanya within 4 days ahead. Nimechanganyikiwa wandugu, biashara zangu zimeyumba sana na kila nikilifikiria tena hili nachanganyikiwa zaidi, najuta.

 
Pole sana ndugu yangu, hiyo ndoa siyo tukufu tena kama ulivyosema. Umeshaivuruga kutokana na tamaa zako za kimwili. Hata ukimuuliza vipi huyo house girl hawezi kukwambia anatoka na nani hapo mtaani, na mkeo akisema amuhoji juu ya utendaji wake wa kazi ndo basi kabisa anaweza pasua jipu.
Cha msingi fanya juu chini atoke hapo nyumbani kabla hujaumbuka na kuvunja ndoa yako.
 
Umejiweka mwenyewe pabaya mkuu. Ila maji yeshamwagika watakupatia ushauri. Ila kila kitu ukifanyacho duniani kina price,be prepared to pay!
 
mfunguie biashara na umkodi chumba mahali akijifungua pima dna kama ni wake endelea kuwalea na mtoto, pia mtoe hapo kama unamuogopa mkeo kujui,ila usimtelekeze huyo beki 3 labda ni mimba yako
 
Hahaha 'ndoa tukufu' wakati unapita na vitu zingine bro? Option ni moja tu hapo, kubali msala wako na umwambie wife mwenyewe kabla hajajua kutoka kwa mwingine yeyote. Ukweli huwa haufichiki.
 
Ukweli mimi nilitembea naye kavu kavu ila nilikuwa makini sana wakati wa kufika mshindo. Nilihakikisha sperm nazimwaga njee..
Kama usingeandika mahali flani kwamba una watoto watatu, ningeassume wewe ni kijana wa Form one B katika shule ya kata flani. Well, maji yameshamwagika. Hiyo mimba binti hajaipanga na hivyo inaweza kumuharibia future yake. Fanya mpango mkaitoe. Then umpe kianzio binti aende kwako akaanze maisha upya.
 
Halafu juzi mkeo alikuwa asema ikitokea amegundua hali kama hiyo, yaani mume kwa house girl nae atapiga kwa house boy au msela wa pale kona kama unaenda kwako
 
hapo mleta mada anatamani aamke asbh aambiwe beki tatu amekutwa amefariki chumbani kwake. Najaribu kujiweka kwenye viatu vya mleta mada nakosa jibu sio mbaya acha awajibikie makosa aliyoyafanya tu
 
Usiogope mimba na hiyo ya kumwagia nje uhakika wa kuzuia mimba ni asilimia chache sana,hapo cha kufanya mtafutie huyo binti chumba umpangie mapema kabla mkeo hajajua hivihivi utavunja ndoa mwenyewe huo msala wako baba.
 
Please! Naombeni ushauri wa kujenga na siyo kuzidi kubomoa na kunichanganya zaidi

ahaaaaaaaaa mkuu umenivunja mbavu ila nakushukuru hujamsingizia shetani. Kwaiyo ndo ivo tena. Sasa la kufanya kwanza nijibu huna hela? Au ni wale wanapenda kuchomeka bila cash mfukon??? Naam kama una pesa mwambie dada yako wa dam au mama yako ongeen na huyo hg mtoe hapo kwako ntaftie sehem ajifungue huko ila usimtelekeze tafadhari. Naana itakuwa siri mpaka hapo utakapokuwa mjinga ukashindwa kutuma matumizi binti atakuja hadi kwako na siku zote watoto wa michepuko huwa wanafanana na baba zao.

Kuhusu mimba niyakooooo huwa mbegu zinaingia kwa kas kuliko unavyozan. Tena atajifungua mapacha
 
Please! Naombeni ushauri wa kujenga na siyo kuzidi kubomoa na kunichanganya zaidi
Inapaswa uwe mpole na mkali mara moja!! Kata nae (HG) dili..... mtafutie makazi mitaa ya mbali na umtunze keshakuwa mama wa mtoto wako!! ( kama unataka siri isitoke ) na umhudumie haswa.
 
ahaaaaaaaaa mkuu umenivunja mbavu ila nakushukuru hujamsingizia shetani. Kwaiyo ndo ivo tena. Sasa la kufanya kwanza nijibu huna hela? Au ni wale wanapenda kuchomeka bila cash mfukon??? Naam kama una pesa mwambie dada yako wa dam au mama yako ongeen na huyo hg mtoe hapo kwako ntaftie sehem ajifungue huko ila usimtelekeze tafadhari. Naana itakuwa siri mpaka hapo utakapokuwa mjinga ukashindwa kutuma matumizi binti atakuja hadi kwako na siku zote watoto wa michepuko huwa wanafanana na baba zao.

Kuhusu mimba niyakooooo huwa mbegu zinaingia kwa kas kuliko unavyozan. Tena atajifungua mapacha
Naam !!
Xpiriens !! ( umempa uzoefu timamu) Msandawe Halisi chukuwa ACTION !!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom