Upo mkoa Gani?Kama kichwa cha hapo kinavyojieleza hapo :
SEHEMU YA KAZI: Banana Dar.
UUMRI: Miaka 18 na kuendelea
VIGEZO: aje na barua ya mwenyekiti
MALIPO: Maelewano
shukrani wote!
mawasiliano 07153531957
Upo mkoa Gani?
hongera jirani kwa kutoa ajira....Kama kichwa cha hapo kinavyojieleza hapo :
SEHEMU YA KAZI: Banana Dar.
UUMRI: Miaka 18 na kuendelea
VIGEZO: aje na barua ya mwenyekiti
MALIPO: Maelewano
shukrani wote!
mawasiliano 07153531957
usikadilie sasa kuwa kila mtu anakimbia na hela... weka fursa watu waaminifu tupo mkuu...!!!!mkuu nilikuwa nae wa kiume lakini ndo ivyo ametoroka na hela zangu.
bora kwa sasa niwe na wa kike.