Msichana mwenye kipaji!

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Mtazame msichana huyu mwenye kipaji cha kujua karibu miji mikuu yote ya nchi za Afrika.Amechanganywa na Tanzania tu. Alitaja Dar badala ya Dodoma aliyoitaja baadaye Kumradhi wanajamvi,nimeshindwa kuibandika video husika. Nafanya jitihada kufanikisha hilo
 

ilishaletwa hapa siku za nyuma kidogo mkuu
 
Yaa nilishapata kuiona clip ya huyomtoto ni noma, anauwezo wa ajabu, alikuwa anaulizwa kufuata mabara, Anzia america mpaka Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…