Msichana mwenye ujuzi wa kutosha katika kutumia Computer anatakiwa,.... hakuna elimu zaidi ya kujua Computer .. anayeishi DSM maeneo ya Ubungo, External, Mabibo, mwenge atafikiriwa zaidi .. mwenye interest PM
sasa mahali anapoishi mtu panahusiana vipi na hiyo ajira au kazini atakuwa anatoka saa kumi za usiku masharti mengine sio bhana we sema anaeishi dar inatosha.

... Kwa muelewa ataelewa.. inasaidia sana kufanya kazi mahali ambapo hupati tatizo la usafiri ni tofauti na mtu anayekaa Buza kufanya kazi Kawe..mshahara utaishia kwenye daladala ... kuamka saa 10 alfajiri kurudi saa mbaya ndo maana tunataka wa maeneo jirani na ofisi
Kwa muelewa ataelewa.. inasaidia sana kufanya kazi mahali ambapo hupati tatizo la usafiri ni tofauti na mtu anayekaa Buza kufanya kazi Kawe..mshahara utaishia kwenye daladala ... kuamka saa 10 alfajiri kurudi saa mbaya ndo maana tunataka wa maeneo jirani na ofisi
... Kwa muelewa ataelewa.. inasaidia sana kufanya kazi mahali ambapo hupati tatizo la usafiri ni tofauti na mtu anayekaa Buza kufanya kazi Kawe..mshahara utaishia kwenye daladala ... kuamka saa 10 alfajiri kurudi saa mbaya ndo maana tunataka wa maeneo jirani na ofisi
kazi ni option ya mtu kama ameamua kufanya kazi hatajali umbali unaousema wewe kwa sababu anatambua shida atakazokumbana nazo kwanini umkatishe mtu tamaa,kuna watu wanaishi mlandizi,kibaha,bagamoyo wanafanya kazi hapa dar na wao watasemaje.
.... Sijui Kama uko serious .. kwa kuwa namba umeiweka hadharani na simu hupokei ... niliomba ufanye PM yaani private message.. inakuwa rahisi kwa mawasiliano bila kuingiliwa na wahuni... maana watu wengine kupata no ya mtu ni usumbufu...