Msichana anatafutwa amepotea

....unaogopa kutaja umri na alipopotelea sababu unaujua msala wa kuajiri mtoto kuwa housegirl,si eti?
..mi nikimuona ntampeleka polisi!
 
Picha ilikua hivi
Alaa kumbe!Ndo maana wadau wakashauri huyo mtoto aondolewe.Ulifanya la maana kumwondoa maana ni kweli ingeleta hisia fulani hasi kwenye tangazo.
Asante kwa kusumbuka kunijulisha jinsi picha ilivyokuwa mwanzoni kabla ya kuibadilisha. Ulichofanya ni nadra sana hapa jf, ukiulizia kitu jibu utakalopata ni mzaha au kashfa!
 
ok nimekuelewa
 
Pole, ila huyo mbona mkubwa?
anzieni kwenye mitandao
1 alikuwa anatumia line gani?
hapo mtajua contacts zake, na facebook
na kwa kutumia Polisi wataweza kupata data za mawasilino ya cmu yake na watu wengine

kama alikuwa hana cmu basi atarudi tu.
 
Pole, ila huyo mbona mkubwa?
anzieni kwenye mitandao
1 alikuwa anatumia line gani?
hapo mtajua contacts zake, na facebook
na kwa kutumia Polisi wataweza kupata data za mawasilino ya cmu yake na watu wengine

kama alikuwa hana cmu basi atarudi tu.
alikua hana simu
 
Taarifa haijakamilika, toa picha yake full na maelezo ya kushiba. Ila kama mnawatesa watoto siku hizi wanapata misaada popote hata kwa nauli ili warudi makwao. Nina ushahidi wa watoto zaidi ya watano wakilalamika wanateswa na watu wanaowatumikia.....na wakichoka huwa wanafikia hatua za kuamua lolote!.....kama kapotea tutasaidiana kumtafuta ila weka taarifa zake kamili, umri wake, ulikuwa unaishi naye wapi?, mara ya mwisho ulimfanyia tukio gani?, kama utakumbuka mavazi aliyovaa, na ametoroka lini?, hiyo picha ni ya hivi karibuni au ya zamani? Maana wengine hujipodoa hadi kubadilika kabisa, na taarifa zingine utakazozikumbuka
 
Msaada kwa mtu yeyote atakaemuona msichana huyu anaitwa Angel Robert ana miaka 16 ametoweka ghafla nyumbani yeye ni wa Bukoba naomba msaada kwa yeyote ambae atakaemuona popote pale atoe taarifa kwenye number 0657516771 / 0758716186
Kenda kutafuta maisha Mulushaka huyo.
Atarudi tu, na hasa baada ya kupata ujauzito
 
kiujumla hajafanyiwa kitu chochote kibaya na picha hiyo sio ya muda mrefu
 
Mkubwa huyo,, subirini alete kitumbo ndi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…