Ebenezer Patrick
Member
- Dec 21, 2016
- 29
- 7
ok poa nitafanya hivyoMngemtoa mtoto pichan itaonekana kaiba mtoto akatoweka nae.
Kumbe pc yangu inanidanganyaga! Kwenye picha namwona tu msichana anayediwa kupotea sioni mtoto mdogo.Mngemtoa mtoto pichan itaonekana kaiba mtoto akatoweka nae.
Kama ameshapevuka tayari atakuwa amewekwa kinyumba.Msaada kwa mtu yeyote atakaemuona msichana huyu anaitwa Angel Robert ametoweka ghafla nyumba yeye ni wa Bukoba naomba msaada kwa yeyote ambae atakaemuona popote pale atoe taarifa kwenye number 0657516771 / 0758716186
Kumbe pc yangu inanidanganyaga! Kwenye picha namwona tu msichana anayediwa kupotea sioni mtoto mdogo.
Anyway, huyo msichana ni mkubwa na..................
NADHANI UNGESEMA KATOWEKA WAPI ALIKUWA ANAISHI NI MTWRA MWANZA AU TABORA ITASAIDIAMsaada kwa mtu yeyote atakaemuona msichana huyu anaitwa Angel Robert ametoweka ghafla nyumba yeye ni wa Bukoba naomba msaada kwa yeyote ambae atakaemuona popote pale atoe taarifa kwenye number 0657516771 / 0758716186
Wasiwasi gani mkuu??,kwani watu wa Bukoba wakoje??.Aisee kama ni wa huko Bk nina wasiwasi......
Bwanshe fb kumejaa uko mpaka hapa karibu na corner ya surrender bridge Me nilipa uko majira ya Saa 4:00 asubuhAtakuwa ameenda fb uyo kajalibu kumtafuta
dah! nitashukuru sanaAtakayemuona atakujulisha naamini, ujumbe umefika
poaatarudi tu .. nikimuona nitapiga simu
kwa sababu gan?Aisee kama ni wa huko Bk nina wasiwasi......