Bado tu imagine au ni reality? Kwasababu umeanza na neno hebu Imagine
hahahahaaaaaaaaa Abel umewuwaaaaaaaaHao ni kama "CCM" wanaonesha upendo wao wakati wa "Uchaguzi".Ukiisha ndio basi tena!
utakua nyuki wa mashineni
Wanaume rijali wanazidi kupungua kwa kasi ya ajabu!
Umemuamini???