Msiba wa Jasusi Agustino Mahinga umetufundisha mengi. Kuna mambo mengi ya kufanywa na Diwani Athumani

1977 toa 27 = 1950 ?!

Pia unataka Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa badala ya kushauri awe anawajibika kwa ajira za vijana wakati hilo ni suala la visheni ya taifa na siyo suala kuu yaani core activity ya idara ya usalama wa Taifa.
Inaweza isiwe core activity ila haina maana wasione namna ya kuiongeza.

Wakati Balozi Mahiga akiwa boss wa kitengo matumizi ya TeHaMa labda hayakuwepo au yalikiwa chini sana kwa msingi wa technology ya wakati huo.

Kama kuna eneo magaidi wanawekeza ni kwa vijana ili kufikia malengo yao.

Yesu anasema amewaandikia vijana kwa maana wanazo nguvu na wamemshinda shetani.
Silicon valley, Heifer ni centre za innovation solutions kwa makampuni makubwa waki-tap brain za vijana.

Nadhani TISS base yao kwenye recruitment iko kwa vijana ambao baadae watabeba majukumu makubwa.

Msingi wa hoja yangu, lazima vijana watengenezewe organized systems ili tuone matokeo makubwa ikiwemo kujenga uchumi endelevu na jumuishi.

Wasalaam

Freddie.
 
Back
Top Bottom