Kwenye Gazeti moja la leo limeripoti kwamba gari iliyokuwa inasafirisha msiba(wa Lyoba) walivamiwa na majambazi na wameporwa vitu mbali mbali ikiwemo fedha na simu,pia walivunja sanduku lilikowa na mwili
marehemu alkua anapiga Bsc wth edc (bio&geo), kabla ya hapo alchukua dploma ya ualmu tarime na kwenda shnyanga kkaz' ila ameacha mke alojfungua kwa operatn