Msiba Real Madrid: Alfredo di Stefano Afariki Dunia

mbiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2014
Posts
539
Reaction score
147
mchezaji wa zamani na rais wa heshima wa real madrid alfredo di stefano amefariki dunia baada ya juzi kupata mshtuko wa moyo na kuwahishwa hospitali ambako alikuwepo intensive care unit.di stefano atakumbukwa kwa kucheza katika kipindi ambacho real madrid ilipata mafanikio makubwa ikiwemo kushinda mataji matano mfululizo ya uefa,na aliifungia real madrid mabao 308 katika michezo 396 na ni mfungaji wa pili wa muda wote wa klabu hiyo nyuma ya raul.rip alfredo di stefano.
 
Rip stephano.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Pole kwa mshabiki wa Real na pia hatuwezi ishi milele mbiza asante
 
Last edited by a moderator:
Kwaheri nguli wa kabumbu.He was one of the outstanding strikers of all time.
 
mchezaji wa zamani na rais wa heshima wa real madrid alfredo di stefano amefariki dunia baada ya juzi kupata mshtuko wa moyo na kuwahishwa hospitali ambako alikuwepo intensive care unit.di stefano atakumbukwa kwa kucheza katika kipindi ambacho real madrid ilipata mafanikio makubwa ikiwemo kushinda mataji matano mfululizo ya uefa,na aliifungia real madrid mabao 308 katika michezo 396 na ni mfungaji wa pili wa muda wote wa klabu hiyo nyuma ya raul.rip alfredo di stefano.

Mzee alikuwa anaheshimika sana, makombe 5 ya Champions league si kazi ndogo
 
Alazwe mahali pema peponi,,,,,,,amen
 
Na apumzike lengend,amefanya makubwa sana.
 
Baada ya Eusebio naona mkongwe mwingine naye kaaga dunia...

Kweli kila enzi na watu wake, utakumbukwa daima Alfredo di Stefano
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom