Msiba mkubwa wateja wa TEDET

Msiba mkubwa wateja wa TEDET

Kaitaba

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2009
Posts
915
Reaction score
54
Serikali imepiga marufuku na kusitisha shughuli zote zilizokuwa zikifanywa na ile taasisi ya kutafutia watu viwanja mkoani Pwani na Dar.

Imegundulika kuwa ilikuwa ni ya kitapeli!
 
Hebu sema vizuri, hii ni ile inayohusiana na mradi wa bonde la mto rufiji pia?
 
Source Mkuu.
Mimi huwa sinukui vyombo vya habari kama baadhi yenu mnavyofanya, huwa natafuta mwenyewe, hivyo chanzo ni mimi, kama una mashaka fuatilia vyombo vya habari kuanzia leo saa 1 jioni
 
Hebu sema vizuri, hii ni ile inayohusiana na mradi wa bonde la mto rufiji pia?
Hapana, hawa huwa wanatangaza kuwa wanawatafutia watu mashamba mkani pwani, na wanataka watu wa dar na Pwani, kisha wankusafirisha mpaka huko, wanakupimia na kukumilikisha, wewe unawalipa pesa kidogo sana,

Hawa hawausiki na mto Rufiji, wao wanaishia hapa hapa karibu
 
kweli mkuu tuwekee chanzo cha habari
Nyie huwa mnakariri magazeti, mimi nafuatilia mwenyewe, kama una mashaka fuatilia vyombo vya habari kuanzia leo saa 1 jioni, maana hivyo nyie mnaviamini kuliko mimi
 
Hapana, hawa huwa wanatangaza kuwa wanawatafutia watu mashamba mkani pwani, na wanataka watu wa dar na Pwani, kisha wankusafirisha mpaka huko, wanakupimia na kukumilikisha, wewe unawalipa pesa kidogo sana,

Hawa hawausiki na mto Rufiji, wao wanaishia hapa hapa karibu

Mheshimiwa naona umesahau Geographia. part of Rufiji river is located within Coast Region, kwani daraja la Mkapa lipo wapi sio pwani ile?
 
Serikali imepiga marufuku na kusitisha shughuli zote zilizokuwa zikifanywa na ile taasisi ya kutafutia watu viwanja mkoani Pwani na Dar.

Imegundulika kuwa ilikuwa ni ya kitapeli!

hawa jamaa huenda wamepata ile hela(mtaji) waliokuwa wanatafuta sasa wanaua mradi kwa makusudi. jamani huu ufisadi wa kuibia watu utaisha lini? they should be taken to task
 
Serikali ya mkoa wa pwani inatakiwa kuwajibika, maana ilikuwa inawaona, ilichokuwa inafanya ni kuwataadhalisha wananchi tu, na huku jamaa hao wanaendelea,

Walitakiwa kuwakamata mala moja.
 
Back
Top Bottom