Msiba Mkubwa Hispania

Verified

Senior Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
118
Reaction score
385
Familia ya Bw.& Bi HISPANIA wanasikitikia kuwatangazia vifo vya watoto wao wapendwa REAL MADRID na BARCELONA vllivyotokea ktk nchi ya ujerumani siku za Jumanne na Jumatano usiku, mazishi yatafanyka Jumanne na Jumatano ijayo katika makaburi ya BERNABEU na NOU CAMP.

Salam ziwafkie Man Utd, Chelsea, Man City, AC Milan, PSG, Arsenal, Juve ndugu jamaa na marafki.

Pia taarifa zinasema kuwa watu waliohusika na vifo hivyo wanatafutwa na polisi ambao ni Muller, Ruben, Gomez na jambazi sugu LEWANDOWSK.

 
hii peleka jukwaa la jokes wajamini
haap tunajadili serious issues
 
Mpira udadunda na pia mpira ni dakika 90 tulia utapata majibu leo usiku!
 
Marehemu watafufuka j4 na j5
 
Umesahau kuweka mwongoza ibada ya mazishi.
 
duh Ronaldo alicheza chini ya kiwango sana kaniboajeeeeeee
 
Goodmorning.. nimekumisije miye!!
Nimechelewa kujibu salamu yako patna kwani huku nilipo muda huo bado ilikuwa ni usiku wa giza totoro...

Ooooh haina shida patna.
Me miss wewe pia.

Soon mlango wa ofisi utakuwa wazi, walau uwe unanikuta huko.
 
Ooooh haina shida patna.
Me miss wewe pia.

Soon mlango wa ofisi utakuwa wazi, walau uwe unanikuta huko.

Got you patna...nitakutembelea nipatapo wasaa tupate kusogoa maneno mawili matatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…