Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member Joined Dec 6, 2006 Posts 3,019 Reaction score 580 Oct 20, 2009 #21 Tunabaki kusema pole. Mambo mengine ni maswali ya kawaida baada ya msiba. Pole wafiwa, Mungu aliamua kumchukua mtu wake kwa njia hiyo. Hakuna awezaye kumuuliza Mungu sababu. Leka
Tunabaki kusema pole. Mambo mengine ni maswali ya kawaida baada ya msiba. Pole wafiwa, Mungu aliamua kumchukua mtu wake kwa njia hiyo. Hakuna awezaye kumuuliza Mungu sababu. Leka
ChaMtuMavi JF-Expert Member Joined Oct 15, 2008 Posts 330 Reaction score 9 Oct 20, 2009 #22 Kaitaba said: Kama umefuatilia hata vyombo vya habari vya leo, ni kwamba alikuwa anaingia ndani kupitia juu ya ukuta ukuta huo inaelekea haukuwa imara ukamuangukia, sijui ni kwa nini hakupitia mlangoni mpaka apande ukuta ndo aingie ndani. Click to expand... Huenda ni mazoea yake kuruka ukuta badala ya kupitia mlangoni, sasa ukuta umechoka, na inategemea alikuwa na kilo ngapi. Na huenda wife alishachoka na vitendo vyake na kufungua mlango mme akirejea majogoo. R.I.P Mtani wangu.
Kaitaba said: Kama umefuatilia hata vyombo vya habari vya leo, ni kwamba alikuwa anaingia ndani kupitia juu ya ukuta ukuta huo inaelekea haukuwa imara ukamuangukia, sijui ni kwa nini hakupitia mlangoni mpaka apande ukuta ndo aingie ndani. Click to expand... Huenda ni mazoea yake kuruka ukuta badala ya kupitia mlangoni, sasa ukuta umechoka, na inategemea alikuwa na kilo ngapi. Na huenda wife alishachoka na vitendo vyake na kufungua mlango mme akirejea majogoo. R.I.P Mtani wangu.