MSHUKURU MUNGU KWA ULIPOFIKlA…

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,037
Reaction score
168,676
Mara ya mwisho lini ulijitafakari na kutafakari maisha yako jinsi yalivyo? Wengi wetu tupo kila siku kumuomba Mungu kwa yale ambayo tunataka katika maisha yetu. Lakini je hivi umetambua hapo ulipo na yale uliyo nayo mengi ama baadhi ni yale uliyo omba miaka kadhaa iliyopita na Mungu kakupatia tayari ila umesha sahau na wala hujakumbuka kumshukuru ila umekazana kuomba mengine? Let us be Grateful first kwa yale ambayo Mungu katujaalia leo na tukumbuke kuna wengine wapo kuomba kupata ulicho nacho wewe leo. Huku tukikazana kuishi na kupanga Mipango yetu bila kusahau kumhusisha Mwenyezi Mungu.
- God is Great!

SOURCE:- AshaDii Mshukuru Mungu kwa ulipofikia… | Food For Thought
 
Nashukuru wallah...alhamdulillah..wanaadamu haturidhiki lakini ukifikiria mafanikio uloyapata unapaswa uketi ukumbuke ulivyokuwa ukiomba dua na ushukuru sana tu...
 
Nakushukuru Mungu muumba vyote kwa ukuu wako ma wema wako.
Hapa nilipo si akili yangu bali ukuu/uweza wako,na imani kuwa ipo sehemu uliyoniandalia na baraka juu yangu zitakuwa maradufu ya hapa.Asante Bujibuji kwa thread yako.
 
Last edited by a moderator:

Bujibuji ule mpango wetu wa kufungua kanisa mbona unakwenda taratibu...haya ndio mafundisho yenyewe Yatupasa kumshukuru tukiwa hai kila inapoitwa siku
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…