blackberry m
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 563
- 415
Sawa mkuuTatizo hilo wanalo watu wengi...!!
Unaweza kulala na ukaota ama kuhisi unadondoka katika Kishimo (sio Shimo kubwa)..
Naomba ni-PM nikushauri cha kufanya...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tusubiri wataalam wajemkuu hilo tatizohata me ninalo na limeacha sasa hivi lakini nilikua sipitiwi na usingizi mpaka nishtuke na sjui inasababishwa na nn kwa kweli
tena wakat mwengine nakua nishapitiwa na usingizi inanijia njozi naota napanda ngazi halaf mara ghafla kufika ya juu kama nimejikwaa mshtuko wake hapo naweza ruka hata kitandani halaf ndio nalala kwa amani kabisa ngoja tusubirie mkuuNgoja tusubiri wataalam waje
Pepo la nini?Pepo
Elekeza hapahapa mkuuTatizo hilo wanalo watu wengi...!!
Unaweza kulala na ukaota ama kuhisi unadondoka katika Kishimo (sio Shimo kubwa)..
Naomba ni-PM nikushauri cha kufanya...
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hilo wanalo watu wengi...!!
Unaweza kulala na ukaota ama kuhisi unadondoka katika Kishimo (sio Shimo kubwa)..
Dah aisee mimi pia nina tatizo hilo. Japo sio kila siku lakini kuna wakati huwa linatokea mfululizo. Ila mimi siotagi ndoto yoyote, nashtukaga tu sana halafu naangalia angalia huku na huko, then nalala raha mustarehe. Ila hapo kwenye kushtuka kama kuna kitu kigumu karibu yangu naweza hata kujiumiza aisee. Nilikuwa nashindwa jinsi ya kujieleza. JF ni noma yani.
Naomba ni-PM nikushauri cha kufanya...
Sent using Jamii Forums mobile app
Pepo gani mkuu?Pepo
Kama umeelewa, unaweza ukatueleza japo kidogo?
Tupe suluhisho mkuu iwapo unalifahamu
Sijawahi tazama katuni hata kidogo maishani mwangu.Acha kutizama katuni
Hio hali itakuishia
Nimekuelewa mkuu. Kwa haya maelezo sitakuwa na shaka tena.Ni tabia ya mwili kujilinda na shambulio lolote lile ili kuhakikisha kuwa unaendelea kuishi,hutokea ili kuuweka mwili wako katika hali ya kawaida ikiwemo kupumua sawasawa(mapafu yanahusika) na kuhakikisha damu inazunguka sawasawa(Moyo unahusika) ili viendelee na kazi kama inavyopasa kuwa.