Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Feb 22, 2016 #1 Mhh lazima atakua ameahidiwa na huyu mwamuzi demu angalia kwa makini mwamuzi karibu na mchezaji wa yanga
Mhh lazima atakua ameahidiwa na huyu mwamuzi demu angalia kwa makini mwamuzi karibu na mchezaji wa yanga
Y ydn JF-Expert Member Joined Nov 24, 2015 Posts 2,092 Reaction score 1,411 Feb 23, 2016 #2 Amavubi said: Mhh lazima atakua ameahidiwa na huyu mwamuzi demu angalia kwa makini mwamuzi karibu na mchezaji wa yanga View attachment 324855 Click to expand... Kwanini useme atakuwa ameahidi? Huwezi jua labda jamaa anamchombeza mwamuzi ili baada ya gemu.......!!!!
Amavubi said: Mhh lazima atakua ameahidiwa na huyu mwamuzi demu angalia kwa makini mwamuzi karibu na mchezaji wa yanga View attachment 324855 Click to expand... Kwanini useme atakuwa ameahidi? Huwezi jua labda jamaa anamchombeza mwamuzi ili baada ya gemu.......!!!!
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,024 Reaction score 59,685 Feb 23, 2016 #3 Picha ina nini kwani?
samsun JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 7,386 Reaction score 5,971 Feb 23, 2016 #4 We endelea kulia,lakini historia ndio imeshaandikwa haifutiki. ( msimu wa mwaka 2015/16 Simba imefungwa na Yanga 2 - 0 nje na ndani )
We endelea kulia,lakini historia ndio imeshaandikwa haifutiki. ( msimu wa mwaka 2015/16 Simba imefungwa na Yanga 2 - 0 nje na ndani )
MasterP. JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 8,263 Reaction score 6,828 Feb 23, 2016 #5 Kwani ni nini mbaya hapo mbona sikioni