Mshindi Oktoba 25 (mathematical analysis)

Yaani umekaa kwenye ka excel kako na kuingiza viasilimia vyako na kujifanya eti na wewe ni mchambuzi kumbe ni mchambuzi MBUZI.

Huyu atakua ni Mcha-kuku tu, mbuzi ni mkubwa sana kwa uwezo wa huyu mtu
 
umempendelea sana magufuli kwenye hilo kundila vijana atapata si zaidi ya 15pc
 
Wataokuelewa hapa ni wachache ...ingawa wata assume kuwa wamekuelewa
ili tu nafsi zao zifurahi.
 
Nakubatiza jina la Mutayi Ngunyi "Tyranny of Numberz".....

Analysis kama hii iliwahi kufanyika huko kwenye uchaguzi wa Kenya na jamaa anaitwa Mutahi Ngunyi na utabili wake ulikuwa spot on kwa Kenyatta kumshinda Odinga!!! Lowassa atamshinda Magufuli kwa margin ndogo!!!
 
Nakumbuka ile hypothesis ya bwana Ngunyi,ila kama ulivyoona hapa tofauti ya kura ni ndogo hii ina maana kwamba kama vijana wengi hawatajitokeza kupiga kura basi Magufuli anaweza akashinda.
 
Nakumbuka ile hypothesis ya bwana Ngunyi,ila kama ulivyoona hapa tofauti ya kura ni ndogo hii ina maana kwamba kama vijana wengi hawatajitokeza kupiga kura basi Magufuli anaweza akashinda.

Vijana safari hii wamehamasika sana na wengi wao wamepigika sana na maisha hivyo wengi wanataka mabadiliko; magamba wanajidanganya kuwa kwa kuwatumia wasanii kama wakina Diamond ndio watawateka vijana!!! Hao vijana wanasema kule kwenye mikutano ya ccm walikuwa wanafuata FIESTA NA PESA lakini kura ni kwa Lowassa!!

CCM wamechanganyikiwa kwani wameona kwamba hawawezi tena kuzuia mafuriko na ndio maana wanafanya mambo ya ajabu ajabu kama vile kumtuma BEN MKAPA kwenda kuhutubia mkoa wa Mbeya kwenye kampeni mahala ambapo wanakumbuka kuwa aliwaibia mgodi wao wa makaa ya mawe!!! Huko ni kukosa umakini na kujitakia aibu kwani Mkapa ataishia kuzomewa na kisha kuanza matusi amabyo hayatawasaidia!!
 
Wewe ni mjinga sana...Unaposhauriwa na wakubwa zako kielimu wenye degree za kutosha inabidi uheshimu mawazo yao..Kwa post yako na nilichokueleza inabidi sasa ukubali tu kuwa wewe ni mjinga.

Mimi huwa sifikirii kijuu juu kama ulivyo wewe..mjinga sana
 
analysis iko biased, kuna watu wengi hawajapiga kura, uhalisia aupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…