mbona we juzi ulipigana na ...kwa sababu yangu?Hivi zama hizi bado mtu unaweza kupigana na mshikaji kisa demu???????
hata cjaelewa kitu hapa, ngoja nirudie kusoma, labda imetokea nje ya tz
Dah mshkaji kaandika kama verse ya muziki wa bongofleva,
wachana na hiyo binti bana, we wachunie wote (yeye + mshkaji wake) :whistle:
Du! Who Cares? Unatisha kaka.oyaaa..dogo acha hizo weweeee...DEMU ANATAKA..wewe unaleta story ohh nishaurini ohhh sijui nini...wewe umejuaje kama basha wake hamkuni ipasavyo n she nid ur msaada?....
basha wake naye ana-za kizamaaaaaani mpaka basi.... mwambie amchunge mbwa wake wewe hukumpigia mluzi kakufuata mwenyewe...na mwisho wa siku hakikisha unamtafuta kwa mbinu zako zote za kigaidi/kiume zaidi na ummege huyo shorty kwa mitindo yoooteee...
ila kama unaogopa battle la basha wake ni-pm namba ya shorty mie nijitoe muhanga...mind you...shorty mwenyewe inabidi awe above standards coz am a man of my own standards....natumai dogo umenielewa bro wako..sawasawaaaaa?
Du! Who Cares? Unatisha kaka.
oyaaa..dogo acha hizo weweeee...DEMU ANATAKA..wewe unaleta story ohh nishaurini ohhh sijui nini...wewe umejuaje kama basha wake hamkuni ipasavyo n she nid ur msaada?....