Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,736
Jameni inawezekana naona vibaya hivi mbona kwenye Mkutano wa Magufuli na Wazee wa Dar....hakuna maji hata kidogo.......kweli matumizi yanabanwa.
hizi sanaa za awamu ya 5 ni zaidi ya mambo hayo ya miaka ya 2000Jameni inawezekana naona vibaya hivi mbona kwenye Mkutano wa Magufuli na Wazee wa Dar....hakuna maji hata kidogo.......kweli matumizi yanabanwa.
Maji yapo hata wazee kule wana kunywa...Jameni inawezekana naona vibaya hivi mbona kwenye Mkutano wa Magufuli na Wazee wa Dar....hakuna maji hata kidogo.......kweli matumizi yanabanwa.
Hakuna maji wala Soda meza kuu wewe angalia vizuri......labda kama yamewekwa baada ya kuanzisha thread hiiMaji yapo hata wazee kule wana kunywa...
Yataletwa kwani kuna tatizo yasipo kuwepo?Hakuna maji wala Soda meza kuu wewe angalia vizuri......labda kama yamewekwa baada ya kuanzisha thread hii
Mara ya kwanza umesema yapo,,,,,,sasa unasema yataletwa, nimekuelewa......hata kitu open namna hii unabisha!!!!Yataletwa kwani kuna tatizo yasipo kuwepo?
Yataletwa kwani kuna tatizo yasipo kuwepo?
Naona umedandia kwenye hoja ya maji..Maji yana umuhimu,sometimes unashikwa na kikohozi katika kuhutubia unakituliza na maji,
Naona umedandia kwenye hoja ya maji..
Hela ya maji hapo mkutanoni inatosha kununua kitanda hospitali!!!!!!!!!!!!!Hivi kutokunywa maji ndo Kubana matumizi??? Upuuuzi mtupu