Mshana Witch project

kwenye hili sina majibu
Wagambushi wanakikao kizito wamesha jenga upya kijiji tena nahisi kuna rushwa ilitembea wakaanza kusalitiana vp wachawi nao wana adhabu kutoka kwa wakubwa je wale wenzao wasaliti wamerudi kundini au wametengwa hhh haya mambo mazito, je mnachaguaje mkubwa wenu wa walozi mnapiga kula?
We jamaa nahisi ulihasi gambushi.
 
Jilenkaetu kuna moja inaitwa Tlai and Puri wamerushiwa huko krt Wanaccm hawaonani fikiria baba Ccm mama na watoto wote cdm , nimeiagizaninakuja nitampiga nayo Aksofu feki ......
 
ranks za kichawi zinapanda kadiri unavyouwa watu wengi na muhimu hasa wana familia ...ukiichakaza familia nzima na watu wengine kibao unapita bila kupingwa
 
Naona leo umekuwa wakala wa nguvu za giza, najua PM yako itajaa siku ya leo
 
Naona leo umekuwa wakala wa nguvu za giza, najua PM yako itajaa siku ya leo
 
Ushindwe kama unavyoshindwa kila siku kwa jina la Yesu!
 
Mjomba mshana naweza kuja kwako unipe makinga yamwana ukome mtu akinichezea yamludie ?

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Friday leo tunakutana wapi kula serengeti Saba kwa 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…