Mshana Witch project

Mkuu hukusikia tamko la gambushi ohoo jiwe asiguswe. jaribuni gambushi wana sema atakaye mgusa wanalala naye.
 
Mkuu hukusikia tamko la gambushi ohoo stone asiguswe. jaribuni gambushi wana sema atakaye mgusa wanalala naye.
 
kumbe ulikuwa unanitega
 
Mkuu kagua tena target yako, maana naona ni kama mishale yako imeelekezwa kwa " mbobezi " Ha ha haaa! Kwenye haki na Nguvu halisi za Mungu, hizi zinaitwa 'uchwara'!
Ulimwengu wa giza ni deep kuliko unavyodhani
 
kaka mshana hao watu wakikupa kitengo hutabadilika kweli
 
@Mshana Jr wewe Ni mganga au mchawi?
 
niliambiwa wanga hua hawatajiriki ajili ya laana ya wanayoyafanya je hii habari inaukweli mshana?
 
Umenitumi kwene shughuli yako tukumbukane kwa chochote kitu
 
niliambiwa wanga hua hawatajiriki ajili ya laana ya wanayoyafanya je hii habari inaukweli mshana?
Usipofanya kolabo na nguvu zingine na mambo mengine utaishia kibanda cha nyasi na macho mekundu bwiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…