mimi sio usalama lakini pia siku hizi watu wanavaa vinyago laini mno mtu kuweza kugundua kuwa hiyo sio sura halisi
Mimi nafanya kazi ya kuhudumia maiti... Ila lwasasa nimestaafu na kuamua kuwekeza kwenye elimu ya giza na nina kilinge Msata
Jamaa anajaribu kutuhamasisha tuweke uhalisia wetu na hili si baya ingawaje linaweza leta sintofahamu pale unaposhtukia kumbe boss wako au mkeo nae memba humu na mmeshavimbiana mara kibao miksa kupeana kaul za hovyohovyo
.View attachment 1101318
Join me to break the taboo of showing our true self.. You never know about tomorrow... Meet me while you're aware the face you are going to meet (face not heart
.View attachment 1101318
Join me to break the taboo of showing our true self.. You never know about tomorrow... Meet me while you're aware the face you are going to meet (face not heart