Mshana Jr...without sunglasses

Sijui nakufananisha?,hii sura kama ni ya mganga fulani aliwahi nisaidia kumroga mtu fulani humu awe juha,masharti yake alisema nitampa pesa baada ya matokeo ambayo nimeshayaona
 
Sijui nakufananisha?,hii sura kama ni ya mganga fulani aliwahi nisaidia kumroga mtu fulani humu awe juha,masharti yake alisema nitampa pesa baada ya matokeo ambayo nimeshayaona
 
KENZY... Haya ni matusi... Unavuka mipaka sasa... Pls let's respect each other.. Hilo neno ulilolitumia halifai
Sikumaanisha Kama unavyofikiri ila kwakuwa ni kwazo nishaifuta komenti hapo...?
 
Okay lkn ndugu unapata wapi ujasili wa kuweka picha yako humu au nawe ni usalama..?
mimi sio usalama lakini pia siku hizi watu wanavaa vinyago laini mno mtu kuweza kugundua kuwa hiyo sio sura halisi
Mimi nafanya kazi ya kuhudumia maiti... Ila lwasasa nimestaafu na kuamua kuwekeza kwenye elimu ya giza na nina kilinge Msata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…