Mshana Jr, Pascal Mayalla na Gentamycine, mtoe kitabu kilichosheheni threads mlizopost JamiiForums kwani zina mafundisho mazuri sana

Huwa naamini huyu jamaa Gentamycine Ana matatizo ya akili na ni mtumwa wa akili zake.

Wakinga wanasemaga "kujiona Una akili Sana kuliko wengine ni matatizo ya akili"
Usimchukulia serious Sana.
IQ yake kwani ikoje?
 
Pasco mayalla kibaraka wa serikali hii ya awamu ya tano,sio mwenzetu huyu.

Genta apendi kukosolewa endapo ukimwonyesha udhaifu wake utaambulia matusi.

Mshana huyu mkuu anatoka kitengo sio mwenzetu kama Pasco

We unakubali kukosolewa. Mwenzetu unamaanisha wanachadema Au.
 
Wahusika bila shaka mmenielewa.

Sasa ni muda muafaka wa kutoa kitabu kinachohusu thread mlizowahi post humu jf kwa kuunganisha mawazo mazuri ya members wa jf waliyowahi toa kuhusiana na uzi husika.

Kila mtu atafute main title ya kitabu itakayobeba uzi zote zinazoendana kiujumbe n.k.

Asanteni wakuu

Una uhakika kuwa ID yangu inaandikwa genticimine? Hata hivyo nikushukuru tu kwa aina ya ' indirect provocation ' yako Kwangu ambayo naona imefanikiwa kwa 100% kupitia kwa hao Members wengi wanaoonyesha ' Chuki ' zao Kwangu utadhani nilipojiunga hapa JamiiForums niliwaambia kuwa nakuja ' Kuwafurahisha ' Wao na kutaka niwe naandika kama watakavyo wao.

Nisemeni mnavyoweza, endeleeni kunidhihaki muweazavyo ila GENTAMYCINE nitabaki kuwa GENTAMYCINE mpaka pale ' Israeli ' atakaponipa ' Tiketi ' yangu rasmi ya kwenda Mbinguni na kamwe uwepo wangu hapa Jamvini hauendeshwi na ama Mjinga au Mpumbavu yoyote na ndiyo maana ' Signature ' yangu ya ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ' ina majibu tosha kwa wale ' Wanafiki ' wote ambao wanakerwa na ' natural charm ' yangu na ' anecdote style ' ya Uandishi hapa.

Hivi ukinichukia GENTAMYCINE unanipunguzia nini katika maisha yangu? Unanilisha? Umenikopa labda unanidai? Bando langu la kuniwezesha Mimi kutiririka na kuserereka hapa Jamvini huna unaninunulia Wewe au ' Basha ' wako? Hapa tupo Members lukuki / wengi tu kama unaona GENTAMYCINE anakuudhi na unamchukia ' to the extent ' kuna Mtu amekulazimisha uwe unamsoma na kumfuatilia kila mara?

Uzuri ni kwamba najua kuna ambacho nimewazidi nacho na bahati mbaya sana ' hamjabarikiwa ' kuwa nacho na kamwe hamtokuwa nacho kwani hata Mwenyezi Mungu nae wakati anagawa alituangalia wengi wetu ila akaona ampe hicho Kitu cha ' Kipekee ' GENTAMYCINE na wengineo aendelee kuwaacha na ' Ungumbaru / Ujinga ' na ' Upopoma / Upumbavu ' wao ambao bahati nzuri hata hapa Jamvini tunaushuhudia kama siyo kuuona vile vile.

Unaacha Kumchukia ' anayekukazia ' Dada yako hadi ' anamfirimba ' na pengine hata Kumtambalizia ' kunako ' Unyabeni ' Kwake au ' Hawara ' ya Mama yako Mzazi ambaye anasababisha ' mtafaruku / mzozo ' baina ya Baba yako Mzazi na Mama yako unahangaika kila siku kukimbilia JamiiForums kusema kuwa unamchukia GENTAMYCINE utadhani labda unamjua au labda nae ' Kakukazia ' kama hata siyo ' Kukutambalizia ' vile vile ' Unyabeni ' hao Watu wawili tajwa hapo juu.

Namalizia kwa kusema uwepo wangu hapa ni ' non aligned ' na siku zote nitaandika kile ambacho nitajisikia nacho kiwe kinakukera au kinakuudhi Mimi sijali. Ukiniheshimu nami nitakuheshimu kuliko unavyodhani ila ukiniletea Uhuni nami nitakuonyesha jinsi nilivyo Msela. Na Falsafa yangu haijabadilika na haitobadilika ambapo kama kawaida yangu Wewe ' Ukijamba ' basi Mimi ' nitakunya ' kabisa na kama unajijua kabisa kuwa huwezi Utani au hupendi Utani na Mimi basi tuheshimiane ila ukitaka Bundesliga / Ligi na Mimi nina uhakika hutoniweza na nitakushinda tu kwani wengine ' Vita ' ndiyo asili yetu na tunavipenda vile vile.

Nimemaliza ila nawaruhusu na msichoke ' Kunijadili ' hapa na mara kwa mara kwani siyo Siri kadri mnavyozidi Kuonyesha ' Chuki ' zenu Kwangu mkidhani mnanimaliza au mnaniweza basi ndiyo Kwanza mnaniongezea ' Fame ' yangu ya ' Kutukuka ' hapa Jamvini na sishangai ndiyo kila Uchao / Siku napokea tu ' Followers ' wapya. Na katika moja ya Mafundisho ya Saikolojia ya Binadamu inasema kwamba ukiona Watu ' Wanakuchukia ' sana basi jua kuna mambo makuu mawili Moja ni kwamba kuna Kitu unachowazidi nacho na Pili ni kwamba kwa 100% wanakupenda na wanakukubali mno ila ama wanashindwa au wanaona aibu kama siyo wanajishtukia Kukuambia.

Akhsante Mwenyezi Mungu ama hakika ulitulia sana na mno ulipokuwa ukiniumba Mimi mwanao GENTAMYCINE.

Cc: Robot la Matope , zipompa , Makosa , MarkHilary , chuma cha mjerumani , James Comey , culture gal , fundinaizer
 
Una uhakika kuwa ID yangu inaandikwa genticimine? Hata hivyo nikushukuru tu kwa aina ya ' indirect provocation ' yako Kwangu ambayo naona imefanikiwa kwa 100% kupitia kwa hao Members wengi wanaoonyesha ' Chuki ' zao Kwangu utadhani nilipojiunga hapa JamiiForums niliwaambia kuwa nakuja ' Kuwafurahisha ' Wao na kutaka niwe naandika kama watakavyo wao.

Nisemeni mnavyoweza, endeleeni kunidhihaki muweazavyo ila GENTAMYCINE nitabaki kuwa GENTAMYCINE mpaka pale ' Israeli ' atakaponipa ' Tiketi ' yangu rasmi ya kwenda Mbinguni na kamwe uwepo wangu hapa Jamvini hauendeshwi na ama Mjinga au Mpumbavu wowote na ndiyo maana ' Signature ' yangu ya ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ' ina majibu tosha kwa wale ' Wanafiki ' wote ambao wanakerwa na ' charm ' yangu na ' anecdote style ' ya Uandishi hapa.

Hivi ukinichukia GENTAMYCINE unanipunguzia nini katika maisha yangu? Unanilisha? Umenikopa labda unanidai? Bando langu la kuniwezesha Mimi kutiririka na kuserereka hapa Jamvini huna unaninunulia Wewe au ' Basha ' wako? Hapa tupo Members lukuki / wengi tu kama unaona GENTAMYCINE anakuudhi na unamchukia ' to the extent ' kuna Mtu amekulazimisha uwe unamsoma na kumfuatilia kila mara?

Uzuri ni kwamba najua kuna ambacho nimewazidi nacho na bahati mbaya sana ' hamjabarikiwa ' kuwa nacho na kamwe hamtokuwa nacho kwani hata Mwenyezi Mungu nae wakati anagawa alituangalia wengi wetu ila akaona ampe hicho Kitu cha ' Kipekee ' GENTAMYCINE na wengineo aendelee kuwaacha na ' Ungumbaru / Ujinga ' na ' Upopoma / Upumbavu ' wao ambao bahati nzuri hata hapa Jamvini tunaushuhudia kama siyo kuuona vile vile.

Unaacha Kumchukia anayekukazia Dada yako au ' Hawara ' ya Mama yako Mzazi ambaye anasababisha ' mtafaruku / mzozo ' baina ya Baba yako Mzazi na Mama yako unahangaika kila siku kukimbilia JamiiForums kusema kuwa unamchukia GENTAMYCINE utadhani labda unamjua au labda nae ' Kakukazia ' hao Watu wawili tajwa hapo juu.

Daah kaka mkubwa sikutegemea kama ungechukulia serious namna hiyo.... sema nini ukiona watu wanakujadili jua wanakukubali kiaina,

Endelea kutupa burudani, posts zako hua zinatutoa stress.

Peace & Love.
 
nami nimekuongezea followers niwe nakufyatilia nijue kitu gan kinachowafanya wakuchuki
 
Back
Top Bottom