hahaaa ila umewaza mbali kweli.. yawezekana hao uliowataja ni maliasili/tunu za taifa sema serikali haijawatambuaHivi kwa mfano ikatokea Mshana Jr, Davinc, Mzizi mkavu, Rakims, Lifecoded, The bold, Zitto,Pasco, Kiranga na baadhi niliowasahau siku wakakaa meza moja hivi hawawezi kufanya kitu kweli..? Yani kipindi hicho wote wakasahau kubishana kuhusu asili ya Yesu, kuhusu mke wa kwanza wa Adam, Kuhusu waisraeli asilia, kuhusu alien wapo au hawapo na mambo kadhalika nakadhalika... Wakaamua siku ngoja na sisi tukae sasa tufanye kitu chetu..
mke....Nilitaka nikuite kumbe mwenyewe umeshafika
ndo maana mi nikasema wanaweza kuwa hata wachawi haaa haaaaaaWrite your reply... huyo jamaa rakims nilifuatilia mada zake full mapicha ya kutisha
mke....
Bibi atawaslimisha wote wasio wa upande wake. That's what she does best.Na Bibi yetu wa Jf
Nashangaa anaanzaje kumsahau bibi jamaniNa Bibi yetu wa Jf
wee mke ww mhh talaka unaifosi kwa lazimaAbee mume nilitaka nikuwakilishe
Ila mume unajua huku ni jamii intelligence? Haya mengine tukaongelee nyumbaniwee mke ww mhh talaka unaifosi kwa lazima
shida unanidatisha nikikuona tu nasahau mahali tulipoIla mume unajua huku ni jamii intelligence? Haya mengine tukaongelee nyumbani