Mshambuliaji Michael Freddy wa Simba hana tofauti na Bakambu wa DRC

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
439
1,754
Yupo striker mmoja anaitwa Bakambu, ana macho kama ndula, ukimuona Bakambu alivyo unaweza sema leo kazi ipo, ni striker ambaye ana kiwango cha kawaida mno lakin kocha wa DRC alikuwa akimpanga kila siku badala ya Fiston Mayele.

Bakambu ana bahati ya mtende, licha ya uwezo wake mdogo sana lakini ameonekana bado mali huko Ulaya, ametoka Galatasaray na sasa amepelekwa Real Betis.

Bakambu ni striker zoba kweli kweli, katika wachambuliaji zoba niliowaona kwenye AFCON basi Bakambu alikuwa namba moja.

Sijui imekuwaje Bakambu anacheza soka ulaya.

Wakati mwingine katika maisha ukiwa na kismart basi everything is going to be okay.Ndio Bakambu.

Sasa Tanzania kuna Bakambu mwingine anaitwa Freddy Michael, Simba ilipomsajili niliangalia YouTube kuona skills zake, nikamcheki na Pa Omary Jobe

Nilimuona Pa ni mzuri sana kwa sababu alikuwa anafunga magoli katika mazingira magumu sana.

Nikawa najiuliza pale nilipokuwa nikiwasikia watu wakimsifia Freddy, nikawa sipati picha, nikajisemea ngoja nione.

Kweli nimeyaona, kwa Freddy ni mara 100 juu asimame John Bocco Adebayor.

Freddy hana uwezo wa kumzidi Bocco, tumeshampa muda naona ndio yule yule, mlaiiini kama Bakambu.

Hivi Freddy na Mugalu nani ana afadhali.Freddy na Kagere nani ana nafuu.Freddy huna uwezo, rudi kwenu kudadeki.
 
Mwamba hakazi mguu, yuko laini mno.

Pa Jobe yuko njema kiupambanaji kuliko Fredy
 
Yupo striker mmoja anaitwa Bakambu, ana macho kama ndula, ukimuona Bakambu alivyo unaweza sema leo kazi ipo, ni striker ambaye ana kiwango cha kawaida mno lakin kocha wa DRC alikuwa akimpanga kila siku badala ya Fiston Mayele...
Apewe muda, wapi Onana shambuliaji la Etoo
 
Hizi Team zetu hazina scout ya maana tunachofanya ni kubahatisha tu ikitokea amepatikana mchezaji mzuri maisha yanaendelea ikitokea kama Fred ndio hasara zenyewe yaani Team hazijawekeza kwenye Watu wa kutafuta wachezaji wao wapo busy na wale wanaowapiga harafu muda mwingine wanawatumia hata Ma Legends wa Afrika kuulizia kumbe wote ni nia moja..
 
Yupo striker mmoja anaitwa Bakambu, ana macho kama ndula, ukimuona Bakambu alivyo unaweza sema leo kazi ipo, ni striker ambaye ana kiwango cha kawaida mno lakin kocha wa DRC alikuwa akimpanga kila siku badala ya Fiston Mayele.

Bakambu ana bahati ya mtende, licha ya uwezo wake mdogo sana lakini ameonekana bado mali huko Ulaya, ametoka Galatasaray na sasa amepelekwa Real Betis.

Bakambu ni striker zoba kweli kweli, katika wachambuliaji zoba niliowaona kwenye AFCON basi Bakambu alikuwa namba moja.

Sijui imekuwaje Bakambu anacheza soka ulaya.

Wakati mwingine katika maisha ukiwa na kismart basi everything is going to be okay.Ndio Bakambu.

Sasa Tanzania kuna Bakambu mwingine anaitwa Freddy Michael, Simba ilipomsajili niliangalia YouTube kuona skills zake, nikamcheki na Pa Omary Jobe

Nilimuona Pa ni mzuri sana kwa sababu alikuwa anafunga magoli katika mazingira magumu sana.

Nikawa najiuliza pale nilipokuwa nikiwasikia watu wakimsifia Freddy, nikawa sipati picha, nikajisemea ngoja nione.

Kweli nimeyaona, kwa Freddy ni mara 100 juu asimame John Bocco Adebayor.

Freddy hana uwezo wa kumzidi Bocco, tumeshampa muda naona ndio yule yule, mlaiiini kama Bakambu.

Hivi Freddy na Mugalu nani ana afadhali.Freddy na Kagere nani ana nafuu.Freddy huna uwezo, rudi kwenu kudadeki.
wewe ni mgeni wa soka la ulaya bakambu unayemuona hapo kazeeka , unamjua bakambu kwenye umri wa mpira 20th akiwa yellow submarine? achana na huyo mtu .Ni sawa na kumuhukumu samatha mzee na haujui samatha wa Tp na Genk
 
Aliongozaga magoli vilarreal wakati msimu unaendelea akauzwa bei ghali kwenda China
 
wewe ni mgeni wa soka la ulaya bakambu unayemuona hapo kazeeka , unamjua bakambu kwenye umri wa mpira 20th akiwa yellow submarine? achana na huyo mtu .Ni sawa na kumuhukumu samatha mzee na haujui samatha wa Tp na Genk
Mkuu umeongea jambo zuri Sana. Tatizo la wapenda soka nchi hii ni ujuaji wa kijinga. Huyo amemuona Bakambu juzi AFCON tu hajui zaidi kumhusu ndo maana anapiga kelele za Mayele.
Yan kwa kifupi kizazi hiki cha kupenda soka ni hatari, mtu hajui mpira, anakurupuka anabwatuka Tu.
 
Yupo striker mmoja anaitwa Bakambu, ana macho kama ndula, ukimuona Bakambu alivyo unaweza sema leo kazi ipo, ni striker ambaye ana kiwango cha kawaida mno lakin kocha wa DRC alikuwa akimpanga kila siku badala ya Fiston Mayele.

Bakambu ana bahati ya mtende, licha ya uwezo wake mdogo sana lakini ameonekana bado mali huko Ulaya, ametoka Galatasaray na sasa amepelekwa Real Betis.

Bakambu ni striker zoba kweli kweli, katika wachambuliaji zoba niliowaona kwenye AFCON basi Bakambu alikuwa namba moja.

Sijui imekuwaje Bakambu anacheza soka ulaya.

Wakati mwingine katika maisha ukiwa na kismart basi everything is going to be okay.Ndio Bakambu.

Sasa Tanzania kuna Bakambu mwingine anaitwa Freddy Michael, Simba ilipomsajili niliangalia YouTube kuona skills zake, nikamcheki na Pa Omary Jobe

Nilimuona Pa ni mzuri sana kwa sababu alikuwa anafunga magoli katika mazingira magumu sana.

Nikawa najiuliza pale nilipokuwa nikiwasikia watu wakimsifia Freddy, nikawa sipati picha, nikajisemea ngoja nione.

Kweli nimeyaona, kwa Freddy ni mara 100 juu asimame John Bocco Adebayor.

Freddy hana uwezo wa kumzidi Bocco, tumeshampa muda naona ndio yule yule, mlaiiini kama Bakambu.

Hivi Freddy na Mugalu nani ana afadhali.Freddy na Kagere nani ana nafuu.Freddy huna uwezo, rudi kwenu kudadeki.
Bakambu alifaa kuwa kiongozi wa timu ya wahamasishaji si uchezaji.
Kuna mzee mmoja aliwahi kusema kuwa mafanikio ya mtu yamejificha katika vitu vitatu; Bahati,Kipaji na Elimu. Uwe na chochote au muunganiko wa vyovyote ila usikose hata kimoja. Bakambu bahati inambeba tu,hana tofauti sana Mbwana.
 
Back
Top Bottom